Nimepata pigo la love

Nimepata pigo la love

pretyfety

Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
41
Reaction score
25
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
 
Utapata mamangu umtangulize Mungu mbele
 
Umepost usikusana lakini nahisi usingiziumekuisha ghafla kwa mawazo, kwahyo utakaye mpate hakutakuwa hatana kipindi cha uchumba ni ndoa tu?
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
 
Pole sana nakuombe kwa muumba wako akujaalie unaemtaka na akufikshe unakokutamani
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
 
Kabisaa best

miaka 22 mbona bado your still young usiharakishe ndoa hivyoo jipe muda.

22 umekaa miaka miwili bila mahusiano so ukiwa na 20 ndo ulisitisha mahusiano. umedate ukiwa na umri mdogo ulikuwa hujui nini unataka na mpaka sasa hujui nini unataka.

jipe muda mdogo wangu changamoto za mahusiano bado hujaziona rangi yake halisi hizoo ulizo kutana nazo ni trailer tu.
 
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
Una umri wa mwaka 22, alafu umesha umizwa mara kibao....[emoji53] [emoji53] [emoji45] [emoji45]
Hapa nawaza kwamba ulianza kuchakazwa ukiwa na mwaka ngapi..[emoji134]
Anyway...... nilikua nawaza tu maana nimetoka kwenye jumuiya hapa
 
Mmmh [emoji41]
 
Back
Top Bottom