pretyfety
Member
- Oct 29, 2018
- 41
- 25
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke