Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Ladha ya maandishi chief.... Unarudi nyumbani kaptula imetoboka, unachapwa viboko ila hujali as long as ushaenjoy[emoji23][emoji23][emoji23]
Ohhh kabisa mzee. Vipi ushapata rafiki?? Uzi unatembea huu mkuu
 
Nasisitiza wajameni, nimepata rafiki hapa JF.

Moja ya malengoo ya kuwepo kwenye platforms kama hizi ni kuongeza idadi ya marafiki ambao wanaweza kukuongoza vyema katika mambo mbali mbali na kukufanya pia ufurahie uwepo wao. Maisha ni mafupi sana na hatuna budi kufurahia kila sekunde ya maisha yetu mbali na changamoto nyingi tulizonazo. Of course najua vyuma vimekaza.

Nimepata rafiki ambae aiseee tunaendana nahisi. Upstairs anaonekana yuko njema sana! Anaonekana ni muelewa na nafurahia kuwa rafiki yake.

Sikuwahi kudhani kwamba hapa JF kuna watu aina yake maana wengi mnaokumbana huko PM baada ya muda mchache wanaanza kuleta story za pesa and alike. Huyu anaonekana ni mtu anajiweza na hana mpango hata kidogo na hata senti moja yangu.

I enjoy chatting with her, yaani tumekutana bila ya kuweka mabandiko ya natafuta rafiki wala nini.

Wanangu ambao mnatafuta marafiki na wenye hamu ya kupata marafiki wenye akili zao basi msikate tamaa wala msilazimishe sometimes maana him michezo haitaki hasira.

Thank you pal for being there for me.



Mkuu hongera sana kwa kupata rafiki na pongezi kubwa sana kwa kutoa taarifa,................ huo ni ungwana wa hali ya juu sana,.......................kwani hata rafiki atasikia raha akiona jinsi ulivyomfurahia,....................................binafsi nimejifunza kitu kwako..........................................................wewe ni mtu mstaarabu sana,........................endelea hivyo hivyo.......................................

Wasalaam

Mwenzetu
 
Rafiki wa rafiki hawezi kuwa rafiki yangu.
Nataka wangu mwenyewe. Au haujui urafiki una wivu?
Hahahha umenikumbusha kitu flan... Kama wewe ni mdau wa TV Shows tafuta hii inaitwa Into the Badlands nadhani kama sijakosea S02..kuna pahala mshkaji anamwambie manzi ake "friend of my friend is also my friend" baada ya kumkuta anachonga na huyo best ake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom