Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Ladha ya maandishi chief.... Unarudi nyumbani kaptula imetoboka, unachapwa viboko ila hujali as long as ushaenjoy[emoji23][emoji23][emoji23]
Ohhh kabisa mzee. Vipi ushapata rafiki?? Uzi unatembea huu mkuu
 



Mkuu hongera sana kwa kupata rafiki na pongezi kubwa sana kwa kutoa taarifa,................ huo ni ungwana wa hali ya juu sana,.......................kwani hata rafiki atasikia raha akiona jinsi ulivyomfurahia,....................................binafsi nimejifunza kitu kwako..........................................................wewe ni mtu mstaarabu sana,........................endelea hivyo hivyo.......................................

Wasalaam

Mwenzetu
 
Rafiki wa rafiki hawezi kuwa rafiki yangu.
Nataka wangu mwenyewe. Au haujui urafiki una wivu?
Hahahha umenikumbusha kitu flan... Kama wewe ni mdau wa TV Shows tafuta hii inaitwa Into the Badlands nadhani kama sijakosea S02..kuna pahala mshkaji anamwambie manzi ake "friend of my friend is also my friend" baada ya kumkuta anachonga na huyo best ake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…