Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Angalia post na comment zako za nyuma kama uliwahi kumpiga mawe jiwe na watukufu wenzake unaweza kujikuta unatumbukia kwenye Mdomo wao, Nina experience huwa wanapandikiza watu huku wakijifanya na maisha tofauti na Unaweza kudhani ni Msichana akawa mvulana anakutega kwa profile fake na chat za kike au msichana aliye kazini kukuwinda 🙂, ama isiwe hivyo! Usiogope, Nenda polepole ndugu...
Ntafanya hivyo mbaba ila mbona juu yake sina hivi? Hivi kuna mtaalamu yoyote anaweza kuniambia hizi ni dalili za ugonjwa gani??
 
Mkuu, it's almost a week now and I am just happy. I could see the difference someone can make into ones happiness
Wouh! But still scanning on process before things get boom.. Good for you chief. Utotoni kulikuwa na ile michezo ya kupanda kilimani na kuteleza kwa mikebe.. Basi unajionea raha za dunia. I see you there[emoji4]
 
Back
Top Bottom