Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Vipi ukamkubali kwa communication lakini physically usimkubali?

Kutana nae kwanza mkuu.
Kwani urafiki unahitaji mpaka umkubali mtu alivyo physically?? I thought we are looking for best heart
 
Hongera sana mkuuu....Nami niko lindo asee...nipate wa kuspend nae..kwan jingle bel jingle bell inakaribia.
 
Una bahati sana, naokutana nao mimi baada ya siku chache wanaanza kunipiga mikuki, mara naomba laki, mara nisaidie hiki, mara kile.
Mkuu nashkuru Mungu najua hatonisumbua kwa hilo
 
Back
Top Bottom