ndio hiyo business tunayotaka sasa tuione mzeya, mbona hamtaki wagegedaji tuwe matajiri jamani.Kuwa mhudumu mlimani city unaweza kula kati ya 15O-2OOk!
Mtaani kwa laki 2 hio hio unaeza komaa ikakuingizia laki 5 kila mwezi kwa kufanya aina flani ya business
We una million 3 haina kazi kisha unalilia mchongo wa laki 2 mzee?ndio hiyo business tunayotaka sasa tuione mzeya, mbona hamtaki wagegedaji tuwe matajiri jamani.
ila kwa kweli mie ata hiyo 200k kwa kufanya kazi mlimani nitafutieni maana pale nina uhakika wakuosha macho warembo wazuri wazuri.
ukichanganya na ndumba ya babu wangu wa kinole kule mbona mtashangaa pisi kali ninazila tuu
Nasisitiza ni upumbavu na ujinga kujitolea.
sii ndio nataka kukuza hiyo mil3 mzeya mbona unakuwa hivyo bwana.We una million 3 haina kazi kisha unalilia mchongo wa laki 2 mzee?
Kujitolea ni ujinga wa hali ya juu unakuwa unajirudisha nyumaBora useme wee mwenzangu, maana tukisema sie wengine, tutaonekana hamnazo
Ni me huyu mkuu...demu hasoti hivyoo coz anatembea na duka lenye mazagazaga yooteehh huyo sasa si bora unipigie mie panda nimuoe nimpe mtaji ata auze uji wa ulezi na biriani friday.
ebu nipe namba yake pm kuna million 3 zimekaa kihasara hasara hapa nisije nikazichakatia mbususus wakati naweza muwezesha mrembo mmoja anaye taabika kwa ofisi za watu bila tija
Crdb ndo zao...wanamprovoke ili aache lkn wapi kakomaa nao tu, anapiga suti4 yrs Internship? Thats so distressing yani miaka 4 yeye kuwa hajajua kazi ama? Wanamu abuse tu
Mse.nge wewe c umesema una milioni 3 hapo juu kwamba hazina kazi[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38]business ipi hiyo ya laki mbili mzeya unipe mchongo?
Hawezi huyu ana addiction ya hiyo bank si kitotoAtoke hapo kama cv kashamaliza kuijaza
Jf umeisahau?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]We una million 3 haina kazi kisha unalilia mchongo wa laki 2 mzee?
Kama sio mchaga mwambie aache kuharibu muda wake humo. Atafika 45 hana mbele wala nyumaCrdb ndo zao...wanamprovoke ili aache lkn wapi kakomaa nao tu, anapiga suti
Sema yule mnyakyusa ana kaulimbukeni tu, hajiongezi yaaan, crbd jengo zuuri, bank teller for nothing mmmmh[emoji848]
Mwamba ameniacha hoi kweli yani πππJf umeisahau?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]
Hilo jambo lilinishindaga. Ni bora nitubu kitaa kuliko kutubu kwenye ac za bank bila chochote kituKujitolea ni ujinga wa hali ya juu unakuwa unajirudisha nyuma
Na wanadanganyana ukijitolea una pata kazi
We pambana kitaa kazi ikitangazwa apply at Least unapiga hatua hata hela ya kwenda kwenye interview husumbui watu na kwenye interview utakutana na hao waliojitolea na bado utawapiga chini
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ mse.nge senyege kaa chini nikulenge.Mse.nge wewe c umesema una milioni 3 hapo juu kwamba hazina kazi[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38]
hahaha kumbe unajua kabisa mwanamke hawezi kusotaNi me huyu mkuu...demu hasoti hivyoo coz anatembea na duka lenye mazagazaga yoote
We ndio umemaliza ila kuna watu awata kuelewaVijana nendeni veta au vyuo vya kiufundi wallah nakwambia unaweza usipate ajira ya kudumu Ila hautakaa ukose pesa ya Kula utakosa Leo Ila Kwa wiki utapata
Aisee!4 yrs Internship? Thats so distressing yani miaka 4 yeye kuwa hajajua kazi ama? Wanamu abuse tu
Ni wale watu tunapendwa kusemwa kwamba tunafanyakazi sehemu fulani sasa akili ikishazoea kutoka ni ngumu unawaza status wakati status bila hela ni bure.Hawezi huyu ana addiction ya hiyo bank si kitoto