ndio hiyo business tunayotaka sasa tuione mzeya, mbona hamtaki wagegedaji tuwe matajiri jamani.Kuwa mhudumu mlimani city unaweza kula kati ya 15O-2OOk!
Mtaani kwa laki 2 hio hio unaeza komaa ikakuingizia laki 5 kila mwezi kwa kufanya aina flani ya business
ila kwa kweli mie ata hiyo 200k kwa kufanya kazi mlimani nitafutieni maana pale nina uhakika wakuosha macho warembo wazuri wazuri.
ukichanganya na ndumba ya babu wangu wa kinole kule mbona mtashangaa pisi kali ninazila tuu