Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

Kuwa mhudumu mlimani city unaweza kula kati ya 15O-2OOk!
Mtaani kwa laki 2 hio hio unaeza komaa ikakuingizia laki 5 kila mwezi kwa kufanya aina flani ya business
ndio hiyo business tunayotaka sasa tuione mzeya, mbona hamtaki wagegedaji tuwe matajiri jamani.
ila kwa kweli mie ata hiyo 200k kwa kufanya kazi mlimani nitafutieni maana pale nina uhakika wakuosha macho warembo wazuri wazuri.
ukichanganya na ndumba ya babu wangu wa kinole kule mbona mtashangaa pisi kali ninazila tuu
 
We una million 3 haina kazi kisha unalilia mchongo wa laki 2 mzee?
 
Nasisitiza ni upumbavu na ujinga kujitolea.

Ni kutokujiamini tuu!
Yaani uache shughuli hata za udalali au misheni town ukajitolee, kazi kunyenyekea na kuwa na matumaini hewa. Upuuzi tuu!

Kuna rafiki yangu mwaka 2017 akaniambia yeye anaenda kujitolea, nikamwambia Acha ujinga tupambane hukuhuku kitaa. Mjini mipango na zungumza na watu upate vitu.

Huu mwaka wa tano ameona yamenishinda karudi kijijini kwao.

Mimi kitu ambacho nitajitolea ni ambacho ni Hobby yangu tuu. Vingine sifanyi kazi Bure.
 
Hiyo nauli nashauri ukawekeze ata kwenye betting na forex huenda ukapata zaidi kuliko kujitolea. By the way mtaani ni pagumu sana na mitaa haihitaji digri
 
Bora useme wee mwenzangu, maana tukisema sie wengine, tutaonekana hamnazo
Kujitolea ni ujinga wa hali ya juu unakuwa unajirudisha nyuma

Na wanadanganyana ukijitolea una pata kazi

We pambana kitaa kazi ikitangazwa apply at Least unapiga hatua hata hela ya kwenda kwenye interview husumbui watu na kwenye interview utakutana na hao waliojitolea na bado utawapiga chini
 
ehh huyo sasa si bora unipigie mie panda nimuoe nimpe mtaji ata auze uji wa ulezi na biriani friday.
ebu nipe namba yake pm kuna million 3 zimekaa kihasara hasara hapa nisije nikazichakatia mbususus wakati naweza muwezesha mrembo mmoja anaye taabika kwa ofisi za watu bila tija
Ni me huyu mkuu...demu hasoti hivyoo coz anatembea na duka lenye mazagazaga yoote
 
4 yrs Internship? Thats so distressing yani miaka 4 yeye kuwa hajajua kazi ama? Wanamu abuse tu
Crdb ndo zao...wanamprovoke ili aache lkn wapi kakomaa nao tu, anapiga suti

Sema yule mnyakyusa ana kaulimbukeni tu, hajiongezi yaaan, crbd jengo zuuri, bank teller for nothing mmmmh[emoji848]
 
Crdb ndo zao...wanamprovoke ili aache lkn wapi kakomaa nao tu, anapiga suti

Sema yule mnyakyusa ana kaulimbukeni tu, hajiongezi yaaan, crbd jengo zuuri, bank teller for nothing mmmmh[emoji848]
Kama sio mchaga mwambie aache kuharibu muda wake humo. Atafika 45 hana mbele wala nyuma
 
Kujitolea ni ujinga wa hali ya juu unakuwa unajirudisha nyuma

Na wanadanganyana ukijitolea una pata kazi

We pambana kitaa kazi ikitangazwa apply at Least unapiga hatua hata hela ya kwenda kwenye interview husumbui watu na kwenye interview utakutana na hao waliojitolea na bado utawapiga chini
Hilo jambo lilinishindaga. Ni bora nitubu kitaa kuliko kutubu kwenye ac za bank bila chochote kitu
 
Mse.nge wewe c umesema una milioni 3 hapo juu kwamba hazina kazi[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mse.nge senyege kaa chini nikulenge.
sasa sii ndio hizo hela nataka zipate kufanya biashara jamani mrembo au wewe hujalielewa. zikikaa hizi najua nitaishi kugegedea tuu ndi tatizo lipo hapo.
so kama kuna kabiashara kanako hitaji 200k ndio mnionyeshe basi
 
Vijana nendeni veta au vyuo vya kiufundi wallah nakwambia unaweza usipate ajira ya kudumu Ila hautakaa ukose pesa ya Kula utakosa Leo Ila Kwa wiki utapata
We ndio umemaliza ila kuna watu awata kuelewa
 
4 yrs Internship? Thats so distressing yani miaka 4 yeye kuwa hajajua kazi ama? Wanamu abuse tu
Aisee!
Mpaka nimejisikia vibaya kwakweli.
Ajilipue tuaanze kufanya umachinga mana hapo ni kama anapoteza muda tu mbaya zaidi ukute hata mpango wa kumwajiri hawana.
Hapo anakuwa anaendelea kupoteza muda akija kustuka too late angajiongeza angekuwa amefika mbali japo biashara nazo zina stress ila bora mana unapambania chako.
Hapo labda kama angalau wanampa chochote kitu tofauti na hapo lazima kichwa kiwake moto.
 
Hawezi huyu ana addiction ya hiyo bank si kitoto
Ni wale watu tunapendwa kusemwa kwamba tunafanyakazi sehemu fulani sasa akili ikishazoea kutoka ni ngumu unawaza status wakati status bila hela ni bure.
Ni kama kaugonjwa tunako wengi sema tu tunatofautiana aina.
 
Back
Top Bottom