Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

Ila watu wanalogaa makazini we acha tuu

Inabidi kuwaandaa watoto wetu kisaikoloji, aanze biashara hata ya kuuza pipi at very primary young age ili aondokane na aibu za raia

Msomi hataki kuuza maji au mitumba kisa watu watamwona eti ( wasomi wenzie) wote wanabanana maofisini kwenye ac aiseee hata kama ni kwa volunteering kwa miaka be [emoji848][emoji848]
Yani ni bonge moja la akili. Dogo anatakiwa ajue kujitaftia kibiashara akiwa youngster tu ili kuondokana na fedhea za huko baadae.

Ule ujinga eti mtoto akijua hela atakataa shule ni wa kuukataa vikali. Mtoto akijua hela ndio vizuri na rahisi kumfundisha money management haraka sana.

Kizazi chetu tunateketea kwa kuona aibu kwakuwa ni fedhea kweli umesoma halafu huna hela. Unataabika mtaani yani q
 
Hapo naona unajiumiza tu, nauli hupewi, kula hakuna, vocha nk..

Usipokuwa makini huko kujitolea ndiko kutakufanya uwe masikini zaidi ya umasikini ulionao sasa.

Nakushauri set target, utajitolea kwa muda gani, kama huo muda ukipita mambo hayaeleweki jiongeze, au jiongeze ukiwa hapo unajitolea utafute connection nyingine.
 
Go and try your lucky over there unless you're having a plan B after leaving that opportunity
 
Kuna jamaa yangu alijitolea kwenye kampuni miaka kibao wanakuja watu anawafundisha kazi baada muda wanaajiliwa yy Bado anapewa nauli kaona Bora aache
Masikini[emoji26]

Hata classmate wangu anafanya internship crdb mnazi mmoja miaka minne buuure hajaajiriwa mpaka kesho, sikilizia hizo stress zake sasa[emoji848]
 
Yani ni bonge moja la akili. Dogo anatakiwa ajue kujitaftia kibiashara akiwa youngster tu ili kuondokana na fedhea za huko baadae.

Ule ujinga eti mtoto akijua hela atakataa shule ni wa kuukataa vikali. Mtoto akijua hela ndio vizuri na rahisi kumfundisha money management haraka sana.

Kizazi chetu tunateketea kwa kuona aibu kwakuwa ni fedhea kweli umesoma halafu huna hela. Unataabika mtaani yani q
Kweli mkuu...msomi hataki kabisa biashara za aibuu, anataka kujificha ofisini tu, hata kama anatumwa tumwa tu bila mpango[emoji848]

Mentality imekuwa ruined kabisa kwa hiki kizazi cha kisomi
 
Masikini[emoji26]

Hata classmate wangu ananya internship crdb mnazi mmoja miaka minne buuure hajaajiriwa mpaka kesho, sikilizia hizo stress zake sasa[emoji848]
ehh huyo sasa si bora unipigie mie panda nimuoe nimpe mtaji ata auze uji wa ulezi na biriani friday.
ebu nipe namba yake pm kuna million 3 zimekaa kihasara hasara hapa nisije nikazichakatia mbususus wakati naweza muwezesha mrembo mmoja anaye taabika kwa ofisi za watu bila tija
 
Tafuta ujuzi mwngine nenda veta uongezee hata ufundi kitaa wenye ujuzi wa ufundi ufundi hawalali njaa mtaji uaminifu tu ila ukikomaa na vyeti ngoma ngumu
 
posho sijakuelewa mkuu
Kuwa mhudumu mlimani city unaweza kula kati ya 15O-2OOk!
Mtaani kwa laki 2 hio hio unaeza komaa ikakuingizia laki 5 kila mwezi kwa kufanya aina flani ya business
 
Kwa mtu ambaye anachukia kuajiriwa ukimwambia masuala ya kujitolea ndio anaweza kukupiga makofi.

Mimi sikushauri ujitolee. Fanya mambo mengine.
Bongo kujitolea ni kujidhalilisha tuu
Nasisitiza ni upumbavu na ujinga kujitolea.
 
Back
Top Bottom