Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yani ni bonge moja la akili. Dogo anatakiwa ajue kujitaftia kibiashara akiwa youngster tu ili kuondokana na fedhea za huko baadae.Ila watu wanalogaa makazini we acha tuu
Inabidi kuwaandaa watoto wetu kisaikoloji, aanze biashara hata ya kuuza pipi at very primary young age ili aondokane na aibu za raia
Msomi hataki kuuza maji au mitumba kisa watu watamwona eti ( wasomi wenzie) wote wanabanana maofisini kwenye ac aiseee hata kama ni kwa volunteering kwa miaka be [emoji848][emoji848]
Ule ujinga eti mtoto akijua hela atakataa shule ni wa kuukataa vikali. Mtoto akijua hela ndio vizuri na rahisi kumfundisha money management haraka sana.
Kizazi chetu tunateketea kwa kuona aibu kwakuwa ni fedhea kweli umesoma halafu huna hela. Unataabika mtaani yani q