Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Huo ndio uwezo wako huko ulikosoma kabla walikuwa wanakubeba. Kama haujadisco kutokana pengine na kufikisha gpa ya 2. Komaa nnawajua waliopata sapu 7kwa semister mbili na wakatoboa
Umeshasema sup 7,kwa semister 2,huyu kagonga 5 kwa semister 1, bado hajaweka dd zake, yaani anasikitisha hata kuomba sympathy kwa uongozi wa chuo ni utata, maana inaelekea hata hayo 3 katokea tundu la sindano. Daaah, aisee hii ni full Makonda's, atafuta Kagenzi tu uendelee na maisha
 
Mkuu pitia post zangu hapo juu kuhusu huyu DOGO anayechezea akili za baba zake kwa kuleta mzaha hapa jukwaani
 
Ikiwa bado unanafasi ya kusup, soma kwa juhudi na utafaulu. Chuoni kunahitaji kusoma kwa hadi tone la mwisho kwani hapo ndo hasaa panapotimiza neno la elimu ni funguo ya maisha.

As a man never give up
 
We unazungumzia supp tu inakukondesha watu wamedisco zaid ya mara saba na hawakukataka tamaa Leo wana Phd ,cha msingi we carry huku ukilichomoa moja baada ya jingine
 
We unazungumzia supp tu inakukondesha watu wamedisco zaid ya mara saba na hawakukataka tamaa Leo wana Phd ,cha msingi we carry huku ukilichomoa moja baada ya jingine
Nashukuru mkuu kwa maneno ya hekima
 
Yap ni kweli

Bado mtihani mmoja tu wa project ambao tunaufanya kesho kutwa


Ila kwenye final papers nyingi nimefanya vibaya ,maswali mengi sikujaza hivyo baasi hakuna muujiza wa kufaulu

Na chuoni kwetu mpaka ufaulu unatakiwa uwe una 40 %
Sasa kumbe matokeo hayajatoka ila unahisi.....
Mbona sasa ulivyouweka huu uzi in kama vile ushajua kuwa umedisco......au unapenda kudisco kijana.......kudisco sio kwenda kucheza mziku shaur yako
 

Pole. Sana. Wewe ndo unajua zaidi mazingira yako. Unapoomba ushauri kwa mtu mwingine weka facts za msingi zote ili ushauri usiwe general sana. Ukisema nilikuwa nakunywa basi anakushauri labda pombe haikufai. Au labda wadada itakuwa lbda ulipoteza muda wako mwingi mana issue ya kufelishwa haiwezekani uwaingilie maprof 5 .so pima yote amka mana jibu la mtu analo mwenyewe wengine huchangia tu. Pili hayo mawazo niliwapitaga watu form iv na vi ndo uyaache kabisa. Moja mahali waliposoma. Mazingira. Useriousness. Uelewa na kukua kwa akili na kujiamini hubadilika alfu lingine kukariri sana mana chuo sijui labda chenu kiwe vingine uelewa una matter sana. So kazana wewe mwenyewe acha kuangalia ya wengine mana hapo hata kuomba msaada utakuwa unaogopa kisa uliwapita o level or A level.
 
Kusup Ni kawaida Chuo ikiwa si mtu mwelewa na makini ILA Kuna muda WA kusapua ukisha sapua vizuri cheti kitakaa sawa we jiandae kurudia mtihani na ujitaidi kuziondoa hizo sup
 
Sawa mkuu nashukuru
 
Kusup Ni kawaida Chuo ikiwa si mtu mwelewa na makini ILA Kuna muda WA kusapua ukisha sapua vizuri cheti kitakaa sawa we jiandae kurudia mtihani na ujitaidi kuziondoa hizo sup
Mkuu je kwenye kusapua cheti kitaonesha kuwa uliwahi kupata sup?
 
Usijifanye kutafuta huruma kwa mods. Ingawa ya ID ya chid boy so yako lakini post zote za kwako zipo. Sema mods wanakuja kukuoa BAN tu
 
Usijifanye kutafuta huruma kwa mods. Ingawa ya ID ya chid boy so yako lakini post zote za kwako zipo. Sema mods wanakuja kukuoa BAN tu
Post yangu ipi ipo kule embu iweke

Acha umbeya ,umbeya ni kwa ajili ya wanawake

Usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…