Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Nashukuru mkuu kwa maneno ya busara na yenye kujengaKuanguka sio vibaya. Vibaya ni kuendelea kukaa chini pale pale ulipoangukia.
Mkuu sikuwa nabebwaHuo ndio uwezo wako huko ulikosoma kabla walikuwa wanakubeba. Kama haujadisco kutokana pengine na kufikisha gpa ya 2. Komaa nnawajua waliopata sapu 7kwa semister mbili na wakatoboa
Mkuu kozi ninayosoma ipo chuo kimoja tu east africa nzimaapply diploma dirisha limefunguliwa mwisho tarehe 06/03/2017 ukikomaa na na degree utakufa kibudu na swala kwamba waliokutangulia watamaliza ajira mtaani hakuna na ushahid kijana mwaka wa 6 hana ajira.....kozi acount cjuh mnaita bkom,,,
KilazaUmedisco
hilo mkuu siwezi kukwambia kwa sababu za kiusalama zaidiUKO CHUO GANI? MAANA UZITO WA SUP UNATOFAUTIANA CHUO NA CHUO
Rudi kalime wa kwetu mvua Ndio zinaanzaYoyote yale ya kunifariji sio ya kuniumiza
Wewe kijana hiyo kozi huna uwezo nayo chakufanya mwakani kasome kozi nyingine.Mkuu kozi ninayosoma ipo chuo kimoja tu east africa nzima
Pia kusoma diploma kidogo itakuwa ngumu kwa maana mm nimeshahitimu kidato cha sita na alama zangu za ufaulu zinaridhisha sana
Kwanza madem wa chuo umewapata wangapi tuanzie apo kwanza ili nikupe ushauriWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Daaah mkuu umenifungua akili ,aiseee nashukuru saana kwa kweliJaribu kuyawekea ratiba mpaka sept 11 kwenye kukaa sap. Unakua umeyasoma yote bila wasws. Cha msingi acha kupaniki jitulize uhakikishe next semister haupati hata sap moja
BASI HAUKO TAYARI KWA USHAURI! NA INAONYESHA ULICHOTUANDIKIA HAPO SI KWELI!!!hilo mkuu siwezi kukwambia kwa sababu za kiusalama zaidi
Mkuu kuna watu nimewazidi alama za kuingilia hapo chuoniWewe kijana hiyo kozi huna uwezo nayo chakufanya mwakani kasome kozi nyingine.
Sio kitu kizuriUlisema nyie ni wajanja na hamfeli mnasoma weekdays na weekends mnakula bata na maksi ukataja. Nafkiri ushamba wa mitandao na kujiamini sana kumekuponza. Bora ukasomee ualimu au hamia cbe
Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club