Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

apply diploma dirisha limefunguliwa mwisho tarehe 06/03/2017 ukikomaa na na degree utakufa kibudu na swala kwamba waliokutangulia watamaliza ajira mtaani hakuna na ushahid kijana mwaka wa 6 hana ajira.....kozi acount cjuh mnaita bkom,,,
 
Huo ndio uwezo wako huko ulikosoma kabla walikuwa wanakubeba. Kama haujadisco kutokana pengine na kufikisha gpa ya 2. Komaa nnawajua waliopata sapu 7kwa semister mbili na wakatoboa
Mkuu sikuwa nabebwa

Nina uwezo mzuri tu wa kiakili sema siku fit na mazingira mapema ,mpaka nashtuka imeshakuwa too late
 
apply diploma dirisha limefunguliwa mwisho tarehe 06/03/2017 ukikomaa na na degree utakufa kibudu na swala kwamba waliokutangulia watamaliza ajira mtaani hakuna na ushahid kijana mwaka wa 6 hana ajira.....kozi acount cjuh mnaita bkom,,,
Mkuu kozi ninayosoma ipo chuo kimoja tu east africa nzima

Pia kusoma diploma kidogo itakuwa ngumu kwa maana mm nimeshahitimu kidato cha sita na alama zangu za ufaulu zinaridhisha sana
 
Jaribu kuyawekea ratiba mpaka sept 11 kwenye kukaa sap. Unakua umeyasoma yote bila wasws. Cha msingi acha kupaniki jitulize uhakikishe next semister haupati hata sap moja
 
Mkuu kozi ninayosoma ipo chuo kimoja tu east africa nzima

Pia kusoma diploma kidogo itakuwa ngumu kwa maana mm nimeshahitimu kidato cha sita na alama zangu za ufaulu zinaridhisha sana
Wewe kijana hiyo kozi huna uwezo nayo chakufanya mwakani kasome kozi nyingine.
 
Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana

Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke

Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE

Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi

Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Kwanza madem wa chuo umewapata wangapi tuanzie apo kwanza ili nikupe ushauri
 
Jaribu kuyawekea ratiba mpaka sept 11 kwenye kukaa sap. Unakua umeyasoma yote bila wasws. Cha msingi acha kupaniki jitulize uhakikishe next semister haupati hata sap moja
Daaah mkuu umenifungua akili ,aiseee nashukuru saana kwa kweli

Watu kama nyie ndio mnasababisha jamii forum watu tuendelee kuwepo aisee nashukuru saaana kwa kweli
 
Wewe kijana hiyo kozi huna uwezo nayo chakufanya mwakani kasome kozi nyingine.
Mkuu kuna watu nimewazidi alama za kuingilia hapo chuoni

Pia hata matokeo ya kidato cha nne napo nimewaacha mbali saana

Lakini cha ajabu kozi work yao ipo juu saana kuliko mm

Hivyo basi hii inamaanisha ningeweka nguvu kubwa kama wao ningewaacha mbali
 
Jaribu kuyawekea ratiba mpaka sept 11 kwenye kukaa sap. Unakua umeyasoma yote bila wasws. Cha msingi acha kupaniki jitulize uhakikishe next semister haupati hata sap moja
 
Back
Top Bottom