MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
unasoma chuo gani? na uko mwaka wa ngapi? baada ya hapo nitakujuza cha kufanyaWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Mwenyewe ndo nashangaa, labda huenda chuoni kwao hakuna disco make naona anazungumzia carryover tu.Sup 5 si tayari umedisco?
we ni noma.jifanyie tathmini then ufikie muafaka kama kweli elimu yadarasani inakufaa.wakati mwingine si kila mtu elimu ya darasani inamfaa.unaweza kuwekeza kwenye kitu kingine ukafanya vizuri zaidi kuliko elimu ya darasani.Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Hawezi kudisco sasa hivi mpaka semester ijayo! Ila jamaa sijui anasoma BVM? ma-5?Nafikir masomo matano utakua umedisco mana kwa masomo nane unatakiwa usapu masomo manne kwa ufaulu Wa masomo matatu, chamsing hapo utambiwa mawili urudie mwako au kudisco nikushaur uwasiliane na viongoz Wa academic Wa chuo ngaz ya mwanafunz wajue jins yakukusaidia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]