Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Harafu utakuta we ndo wa kwanza kumtaka nani hiii alete vyeti vyake wakati wewe yako yanakushinda
 
Hibi wasomi tufafanulieni hapa sup 5 kati ya 8 maana yake nini? We kutwa unashinda kutukana hapa.jf ulidhani hayo matusi watauliza katika test?
 
Kozi kubwa Kuliko IQ yako
Nakushauri uchague Kozi inayoendana na uwezo wako wa ubongo bila hivyo utadisco hadi disco zitakuzoea
 



USHAURI:
1.Nijambo la kawaida katika hali ya chuo kikuu
2.Kumbuka chuo kikuu ni tofauti na sekondari,zingatia maelekezo ya walimu wako
3.Zingatia vitabu rejea ambayo umepewa usome na walimu wako
4.Notes za mwalimu wako ndiyo mtihani wako
5.Assignment na mitihani katika chuo kikuu ni sehemu nyeti sana kuliko kitu chochote hata kama ina alama 1.
6.Kupuuza kazi ya mwalimu itakufanya "udisco"masomo yako maana watajua unapuuzia kwakuwa hamna viboko hapo
7.Usiache chuo komaa mpaka mwisho ili hata kama uta "carry" ilimradi umemaliza chuo
8.Kuanza chuo upya haimaanishi ndiyo kufanya vizuri kwani kila kozi ina ugumu wake
Zingatia haya
 
Mkuu ukitaka ushauri mzuri nini cha kufanya muone Paul Makonda MKUU wa mkoa wa dar es salaam anamaujanja dhidi ya haya mambo...

Please huyo jamaa atakusaidia na utafanikiwa malengo yako
 
Duh wewe si ulijisifu Jf kuhusu course unayoenda kusoma,sijui ilikuaga MD..aisee sio kwa zile kashfa..vizuri sana na udisco ili iwe fundisho..
 
Napenda sana watu wenye kumbu kumbu km ww, asante mkuu, njo tupashe moja mbili hapa
Na sio hiyo tu,alianzisha thread nying za kashfa kuhusu course na kuhusu waliokosa vyuo...dah aise kama amepata hizo sap safi sana..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…