Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Sup sio kilemaa watu wanasapua na kusepa..... Ila mbn vyuo ving bado ata UE awajamalza nyny tayar ad tokeo? Hakuna haja ya ushaur hayo yaliyotokeaa tayar yameshakufunza kuwa uwe serious next timeeee....
 
Muda unaotumia JF utumie kirekebisha makosa yako. Unasoma saa ngapi ikiwa uko active 24/7/365
 
Mkuu hebu twende kwenye uhalisia. Chuo gani ambacho tayari wamefanya UE na matokeo yametoka?
Wachangiaji naona wanatililika kwenye Hewa.
Huyu jamaa anapenda sana kuchezea akili za members.
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
Kama huwa unafuatilia nyuzi zake utagundua hata hapa anachezea akili za members. Mimi ningekuwa ni mods ningemsukumizia BAN
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
 
Uko chuo gani na level ipi? Hivi kuna vyuo wameshamaliza mitihani na kutoa matokeo mpaka sasa?
Mkuu sio lazima matokeo yatoke ujue kama umepita ama laah


Bahati nzuri kozi work +final exam uliyoifanya utajua kama umepita ama laah
 
Unamaanisha nini ?
 
jikaze uwaambie ukweli. ww sio wa kwanza kufeli. waambie tu maana hata ukiwaficha ipo siku watajua tu.
 
Karibu gereji nikufundishe kushusha injini,waachie wengine chuo huku pia utatoboa!
 
Wewe chuo huna, kafanye kazi zingine, kupata sup. 5 kati ya nane, wewe ni mzembe nahujui unachokifanya
 
Umeshindwa hata kumhonga lecture mana huu usawa ulivyo mgumu hata ile hela ya mwendo kas wanachukua
 
Amtafute General Galadudu kwa mistori stori
 
tatizo ni wewe mwenyewe kama unakiri mwenyewe ulifanya mzaha basi acha mzaha
 
Unasoma nn? Na wap? Maana vyuo vingi naweza sema vyote havijapata matokeo bad vingne ndio vinafanya UE now"
Nadhani uko certificate e
 
Sio muda wa dhihaka huu


Try to behave like a gentleman

Yoyote yale ya kunifariji sio ya kuniumiza

Mkuu sio muda wa dhihaka huu

Muda mwingine jaribu ku behave kama mwanaume uliye kamilika

Sio kitu kizuri

Assume ni wewe unaomba ushauri halafu unajibiwa hivi ungejiskiaje?
Relax, Huwezi kucontroll jinsi mtu anavyotaka kureact, they all can't be positive about your situation ukizingatia umejitakia. Hata mimi nakwambia ukome sababu unaonekana mwenyewe you're not a good boy, unamaproud mengi sana na show off za kijinga, anyway ukijitambua utajua ufanye nini na useme nini kwa wazazi.
 
Unasoma nn? Na wap? Maana vyuo vingi naweza sema vyote havijapata matokeo bad vingne ndio vinafanya UE now"
Nadhani uko certificate e
Yap ni kweli

Bado mtihani mmoja tu wa project ambao tunaufanya kesho kutwa


Ila kwenye final papers nyingi nimefanya vibaya ,maswali mengi sikujaza hivyo baasi hakuna muujiza wa kufaulu

Na chuoni kwetu mpaka ufaulu unatakiwa uwe una 40 %
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…