Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Uko chuo gani na level ipi? Hivi kuna vyuo wameshamaliza mitihani na kutoa matokeo mpaka sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okyani huyu jamaa Mara ana [HASHTAG]#ukimwi[/HASHTAG] Mara [HASHTAG]#kadisco[/HASHTAG] sasa kazidi uongo mpotezeeni tu
Mkuu hebu twende kwenye uhalisia. Chuo gani ambacho tayari wamefanya UE na matokeo yametoka?We dogo, nilijua ipo siku utakuja na huu uzi, kutoka na hizi nyuzi zako za nyuma..
Nimebahatika kupata mke
Nahisi nimeathirika na VVU
Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club
Chuo unakiendea pupa sana mdogo wangu. Achana na show-off zako jitambue unataka nini maishani mwako.
Endelea kusikiliza maoni ya wakuu humu
Mkuu sio lazima matokeo yatoke ujue kama umepita ama laahUko chuo gani na level ipi? Hivi kuna vyuo wameshamaliza mitihani na kutoa matokeo mpaka sasa?
Nipo mwaka wa kwanza
Unamaanisha nini ?Mkuu hebu twende kwenye uhalisia. Chuo gani ambacho tayari wamefanya UE na matokeo yametoka?
Wachangiaji naona wanatililika kwenye Hewa.
Huyu jamaa anapenda sana kuchezea akili za members.
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
Kama huwa unafuatilia nyuzi zake utagundua hata hapa anachezea akili za members. Mimi ningekuwa ni mods ningemsukumizia BAN
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
jikaze uwaambie ukweli. ww sio wa kwanza kufeli. waambie tu maana hata ukiwaficha ipo siku watajua tu.Sawa mkuu nashukuru
Ila tatizo linakuja jinsi ya kuwashawishi wazazi waelewe yani shida ndio inaanzia hapo
Kwa maana najiona mkosaji sana
Ilikuwa ugomvi nikiomba nipewe hela halafu wachelewe kunitumia na walihakikisha wananipatia kiasi chochote kile cha pesa ninachokitaka bila ya kuwa na limit ya matumizi kws maana sina mkopo wa serikali (HESLB)
Sasa kitendo cha kuwaambia nimefeli aisee sijui nitaanzia wapi yani
Natamani ardhi ipasuke nijifiche
Amtafute General Galadudu kwa mistori storiMkuu hebu twende kwenye uhalisia. Chuo gani ambacho tayari wamefanya UE na matokeo yametoka?
Wachangiaji naona wanatililika kwenye Hewa.
Huyu jamaa anapenda sana kuchezea akili za members.
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
Kama huwa unafuatilia nyuzi zake utagundua hata hapa anachezea akili za members. Mimi ningekuwa ni mods ningemsukumizia BAN
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
Sio muda wa dhihaka huu
Try to behave like a gentleman
Yoyote yale ya kunifariji sio ya kuniumiza
Mkuu sio muda wa dhihaka huu
Muda mwingine jaribu ku behave kama mwanaume uliye kamilika
Relax, Huwezi kucontroll jinsi mtu anavyotaka kureact, they all can't be positive about your situation ukizingatia umejitakia. Hata mimi nakwambia ukome sababu unaonekana mwenyewe you're not a good boy, unamaproud mengi sana na show off za kijinga, anyway ukijitambua utajua ufanye nini na useme nini kwa wazazi.Sio kitu kizuri
Assume ni wewe unaomba ushauri halafu unajibiwa hivi ungejiskiaje?
Yap ni kweliUnasoma nn? Na wap? Maana vyuo vingi naweza sema vyote havijapata matokeo bad vingne ndio vinafanya UE now"
Nadhani uko certificate e