Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Ondoa mawazo ya kuwa huna uwezo wa kuyasapua kisha jiamini na ujiandae kwenda kufanya supplementary zako.
Ukitaka kuwa mpambanaji kuwa kwanza na lengo la kushinda ili kushindwa liwe tokeo tu lakini hukupanga kushindwa.
Jamaa ktk masomo nane kala supp 5 atachomoa vipi Disco? Sijui.... Wenzio wakiona course work zimekaa vibaya sana ungeunda zengwe na kuomba kuhairisha mwaka mapemaa unaomba poo. Sasa hapo kaanze kusoma tena prospectus za chuo chenu na vingine ujiandae kuomba upya admission ya kusoma kozi nyingine au chuo kingine.
 
jikaze uwaambie ukweli. ww sio wa kwanza kufeli. waambie tu maana hata ukiwaficha ipo siku watajua tu.
Mkuu ivi pamoja na ushahidi wote huo tunaoweka hapa bado unatoa ushauri?
Chuo gani ambacho matokeo yanatoka mwezi wa 2?
Tanzania nzima hakipo.
 
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
 
Yap ni kweli

Bado mtihani mmoja tu wa project ambao tunaufanya kesho kutwa

Ila kwenye final papers nyingi nimefanya vibaya ,maswali mengi sikujaza hivyo baasi hakuna muujiza wa kufaulu

Na chuoni kwetu mpaka ufaulu unatakiwa uwe una 40 %
Sio lazma upate vyote vp ila hapo chuo mademu si unapiga?... upande huo nadhani ujafeli
 
Mkuu do you real think this is true?
Huyu anawa enjoy tu humu. Chuo gani kinatoa matokeo ya UE muda huu?
Muwe mnasoma comments za wadau kabla hamjatoa ushauri.
 
Kwa idadi ya masomo unayosoma (8) na umefail 5 hiyo obvious ni disco maana ume exceed nusu ya masomo i hope ni kwa semister!

Km unaaccess matokeo kwa SIS angalia status itakuwa Disco.

MUHIMU:
omba uje ifanye special tafuta justification (Karatasi ya daktari_singizia kuumwa) kuwa ulifanya mitihani ukiwa kwenye hali ya kuumwa uje ufanye special.

ANGALIZO:
walimu wengi hutunga mitihani ya special kwa kudescourage wanafunzi wasupende special; huwa inakuwa migumu mno!

POLE SANA!
 
Am just trying to think loud! NI CHUO GANI WAMETOA MAJIBU YA UE?? ACHILIA MBALI KUMALIZA UE??

Au ndio harakati zako za kutafuta umaarufu?? Kama ndio hivyo jua wenzio wanatafuta umaarufu kwa mambo ya msingi sio upuuzi kama huu! Sawa?
Niliacha puchu kwa miaka miwili ila leo nimerudi kwa kasi
Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili
Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda
Endelea kuleta mambo ya kitoto kwenye jukwaa hili. Naona mods wanakuvutia kasi tu. Watakunasa tu
Yap ni kweli

Bado mtihani mmoja tu wa project ambao tunaufanya kesho kutwa

Ila kwenye final papers nyingi nimefanya vibaya ,maswali mengi sikujaza hivyo baasi hakuna muujiza wa kufaulu

Na chuoni kwetu mpaka ufaulu unatakiwa uwe una 40 %

Jiulize ni chuo wametoa majibu mwezi huu?! Ndio kwanza vyuo vingi vinaganya UE! HUYU MTOTO NI MWONGO NA ANALETA UPUUZI HUMU

unalipiwa na loan board?

Sio lazma upate vyote vp ila hapo chuo mademu si unapiga?... upande huo nadhani ujafeli

Ndio uwe serious sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…