Huo ndio uwezo wako huko ulikosoma kabla walikuwa wanakubeba. Kama haujadisco kutokana pengine na kufikisha gpa ya 2. Komaa nnawajua waliopata sapu 7kwa semister mbili na wakatoboa
ahirisha mwaka ujipange hata kisaikolojia. utadisco ndani ya sekunde kama ukiendelea. mbaaya zaid kama upo udsm, omba urudie mwaka kabisaWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Uko udsm ww, basi muombe baba akupeleke India ushadisco mwanawane.Yap ni kweli
Bado mtihani mmoja tu wa project ambao tunaufanya kesho kutwa
Ila kwenye final papers nyingi nimefanya vibaya ,maswali mengi sikujaza hivyo baasi hakuna muujiza wa kufaulu
Na chuoni kwetu mpaka ufaulu unatakiwa uwe una 40 %
Ahahah mtihani wa project wa majembe auction mart huyu ni muongo, period!Mtihani wa project?!?[emoji15]
Yaani chuo hicho wamesha maliza end of semester exams, wamesahihisha na majibu yametolewa? Au unataka kusema hata hukuruhusiwa kufanya end of semester examinations. Hii scenario inatia wasi wasi naona hapa tunaingizwa chaka labda tuambiwe ni chuo gani na program/course ipi tuweze kutoa ushauri.UKO CHUO GANI? MAANA UZITO WA SUP UNATOFAUTIANA CHUO NA CHUO
Mwaka wa kwanza kuna project ganiAhahah mtihani wa project wa majembe auction mart huyu ni muongo, period!
Wakuu EGM au CBG nishaurini wapi niendeYaani chuo hicho wamesha maliza end of semester exams, wamesahihisha na majibu yametolewa? Au unataka kusema hata hukuruhusiwa kufanya end of semester examinations. Hii scenario inatia wasi wasi naona hapa tunaingizwa chaka labda tuambiwe ni chuo gani na program/course ipi tuweze kutoa ushauri.
Kusoma course nane kwa sayansi inawezekana lkn huyu hajaonja chuo, ukisapu huji jf, hata kwa kujiaminisha mwenyewe baada ya pepa kama umefeli saa hii angekuwa mgonjwa.Semister moja mnafanya masomo nane? Course gani hiyo?
Project ya Uongo.Mwaka wa kwanza kuna project gani
Do the opposite now and prepare for sup exams. In the meantime jiandae kisaikolojia kucarry kama kuna machache ambayo ngoma itang'ang'ania kimiani...to be honest sikuwa serious katika masomo..
Duuh kwel haelewek nahis nitapiteza typing energy tu hapa kutoa ushauryani huyu jamaa Mara ana [HASHTAG]#ukimwi[/HASHTAG] Mara [HASHTAG]#kadisco[/HASHTAG] sasa kazidi uongo mpotezeeni tu
wewe dem hizo ni story ulizohadithiwa na bwana wako ambaye kashafanya pepa km ud;sema uneshindwa kupangilia pumba zako!Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa
Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke
Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Tatizo lenu mkifika chuo mnaendekeza sana mbunye na pombeWakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma