Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana

Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke

Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE

Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi

Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Cha msingi ni kufocus kama unarudia rudia na ongeza bidii kwenye kusoma. Kama unachange coz change ukiwa serious na masomo. Usiangalie nyuma wala usijione umeshindwa. Kushindwa ni tendo la kukukumbusha kuongeza jitihada kwa lile uliloshindwa mwishoni utafanya vizuri sana tu. Cha msingi ni maamuzi yako ya sasa kwamba unafanya nini?
 
Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana

Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke

Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE

Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi

Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
Kapige mbonji
 
Mkuu kozi ninayosoma ipo chuo kimoja tu east africa nzima

Pia kusoma diploma kidogo itakuwa ngumu kwa maana mm nimeshahitimu kidato cha sita na alama zangu za ufaulu zinaridhisha sana
Course moja east Africa ni ubaharia pekeee zote zingine zipo kila nchi labda utujuze course gani iyo
 
Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi
PUNGUANI WAHEED (In FaizaFoxy voice) huyo mzazi wako si bora hiyo hela aliyopoteza kukulipia ada angenunulia ng'ombe sa hivi angekua anajinywea maziwa tu kupunguza sumu ya mavyakula ya kileo.
 
e0f71ab0d6957983739dc3f89b08a43b.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu jamaa inabidi apelekwe hospitali ya vichaa ana matatizo.

Em angalia thread zake, yaani yupo Form IV, mara form VI, mara chuo, mara maisha ya chuo disco, mara anaishi na ukimwi, mara amesahau jina lake, mara kapata mke.

Niende PCM au PCB ?

Wakuu msaada tafadhari nimesahau jina langu halisi

Nimebahatika kupata mke

Nahisi nimeathirika na VVU

Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club

Kuanzisha threads haulipwi. Huo muda ungetumia kufanya kitu productive maana iko wazi kabisa hujui unafanya nini. Hizi likes unazitafuta kwa nguvu mno.
hahahaha
 
Back
Top Bottom