Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Blaza unasoma engineering nini?
Kama engineer usishangae
 
wanafunzi wa aina yako na hasa kutoka familia tajiri ndio mnao waweka wahadhiri ktk wakati mgumu wa kuhonga (in cash or kind)mpate paper. ushauri wangu enzi nikiwa chuo ningekwambia kafie mbali.
 
Usihofu chini ya utawala wa magufuli jong yong utapeta ukuu wa mkoa na wilaya maana mpaka hapo unajua ku read and write
 
e0f71ab0d6957983739dc3f89b08a43b.jpg
Haha uyu jamaa anaonekana sio mtu mzuri dunia imemfunza kwa maneno yake mwenyewe. Kwanza najiuliza hiyo BAN apo ya nn au niya uongo unao ueneza
 
Msaada gani kama we mwenyewe unasema ulikuwa unafanya kimzaha mzaha. Pumbafu wewe eti ya kunifariji. Shenzi type. Kwanza hata hayo matatu wamekupendelea. Ndo uone kuwa ukienda shule unatakiwa kusoma. Ushapoteza nafasi bwege weekend. Kwanza ushakula bane utaokuta ukifunguliwa
 
Bora mara mia wewe kuliko huyu, kuna kijana alipata sup 6 kati ya course 13,na amebeba course 2 na kwa sasa ana course 15.Jilinganishe na huyu then uchukue hatua.
 
Dah inaonekana ulienda kusomea kitu usichokiweza, pole anza ufugaji kuku
 
Usivunjike moyo me mwenyewe nili supp masomo yote juzi nilipokuwa nasomea cz y clinical medicine to b honest nilivunjika moyo ila nilipiga pindi ya kutosha na nilichomoa yote cha msingi nikuwa na imani tu kwamba kama umepangiwa kufaulu hy coz utafaulu tuuuuuu
 
Back
Top Bottom