Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa jf hatukuoni, nenda kwa Dr ambako atakuwa anakusikia na kukuona upate matibabu.Macho yango yanawasha sana na kutoa machozi mengi pia matongotongo machoni
Naomba mwwnye kujua dawa ya kutumia au ushauri wa kujitibia anisaidie
Niko na hali mbaya
Asanteni
Fundi akiwa anachoma unaskia chiii chii chii, unaona raha kutazama, kivumbi sasa usiku, ngoma inaamsha dude, u🤣🤣😆Kwani uliutazama ule moto wa kuchomelea .
Pole sanaHapana natumia computer sana wengine wanasema ndo sababu
Ni nomaa unaweza dhani kuna mchanga machoni.Fundi akiwa anachoma unaskia chiii chii chii, unaona raha kutazama, kivumbi sasa usiku, ngoma inaamsha dude, u[emoji1787][emoji1787][emoji38]
red eyes au ?
changanya chumvi kwenye maji
miminia machoni (hapa itauma)
usifikiche macho
Tuweke chumvi au sukari ?....mnatuchanganya.Chukua maji kwenye kijiko weka sukari robo kijiko, ikishayeyuka weka macho yote mawili
Funga jicho hata dk 1, halafu ulete mrejesho!
niliwahi na chumvi ikaacha,Tuweke chumvi au sukari ?....mnatuchanganya.
Mimi sukari nilipona,Tuweke chumvi au sukari ?....mnatuchanganya.