Nimepata tatizo la macho toka jana

Nimepata tatizo la macho toka jana

Macho ukiyafanyia utanni utakuwa kipofu sasa hivi, yaoshe na maji masafi sana kesho nenda hosp
 
Another unorthodox, simple prescription:

Sabuni ya Aloe (color yake ni green), maji vuguvugu, na kitambaa safi.

Chemsha maji, kisha tumia kitambaa ulichopaza sabuni kukanda macho yako.

Tulia dakika kama 5 kisha safisha macho kwa maji safi na kuyakausha vizuri. Jihadhari na aina ya mafuta ya ngozi uyatumiayo yasiguse sehemu za machoni.

Fanya hivyo asubuhi mchana na jioni, siku 3-5 (au endelea hadi upone kabisa).

It works like magic!

Your health, your best investment! Stay safe!
 
Kuanzia juzi, kuja mpaka jana, nilikuwa ninaonana na watu ambao macho yao ni kama yamevujia damu kwa ndani. Nilikuwa ninawatizama kwa kustaajabu sana, naishia kusema,"Mambo yao tuwaachie wao".

Usiku wa jana, mida ya saa 2 usiku, nalishangaa kuhisi macho yakiwasha sana, hivyo kuyapekecha vya kutosha. Ilipotimu usiku wa manane, nalihisi ni kama vile macho yamepatwa na vipele uchungu kwa ndani, maake sio kwa maumivu yale, nilihisi nimebebeshwa bichwa la Giant Man. Mida hii ya saa 12 nimeona wacha nivunje sheria ya uanaume, nikaamua kwenda kujitizama kwenye kioo. Alooo! Inatisha sana!

Nimekutana na mucus za kutosha kuyazunguka macho yangu, hasa hasa hili la kushoto. Baada ya kunawa kwa uhakika zaidi, nimebaki na RedMi kwenye macho, yaani kama nimetoka kilingeni kujifukiza kwa dk. Mshana Jr

Nimepoteza muonekano na pia napitia hali ngumu sana. Msaada!
 
Kuanzia juzi, kuja mpaka jana, nilikuwa ninaonana na watu ambao macho yao ni kama yamevujia damu kwa ndani. Nilikuwa ninawatizama kwa kustaajabu sana, naishia kusema,"Mambo yao tuwaachie wao".

Usiku wa jana, mida ya saa 2 usiku, nalishangaa kuhisi macho yakiwasha sana, hivyo kuyapekecha vya kutosha. Ilipotimu usiku wa manane, nalihisi ni kama vile macho yamepatwa na vipele uchungu kwa ndani, maake sio kwa maumivu yale, nilihisi nimebebeshwa bichwa la Giant Man. Mida hii ya saa 12 nimeona wacha nivunje sheria ya uanaume, nikaamua kwenda kujitizama kwenye kioo. Alooo! Inatisha sana! Nimekutana na mucus za kutosha kuyazunguka macho yangu, hada hasa hili la kushoto. Baada ya kunawa kwa uhakika zaidi, nimebaki na RedMi kwenye macho, yaani kama nimetoka kilingeni kujifukiza kwa dk. Mshana Jr

Nimepoteza muonekano na pia napitia hali ngumu sana. Msaada!
Weja povu la sabuni ya kuogea machoni.

Utaniahukuru
 
images - 2024-01-17T065707.491.jpeg
 
Back
Top Bottom