nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Fata huu ushauri.Ushauri wangu ni usifanye biashara au kitu usicho na skills wala muda nacho Mkuu.
Hapo duka la mangi, otherwise imekula kwakoNina hicho kiasi. Kichwani kwangu nina mawazo haya ya biashara lakini nasita ipi hasa na hizi zote nimezipata humu humu na kulingana na mazingira yangu.
1.Saloon na kuingiza movies na nyimbo.
2.Bodaboda ya million 1.2 dar napata nzuri.
3.kinglion pikipiki dar ya lak 9. Then lak 4 nibebe balo la nguo za watoto mix nipite nayo vijijini.
4.Duka la mangi hususan biashara ya nafaka mchele, maharage na mafuta ya kula.
5. Niwekeze shambani huu msimu wa kilimo (hii ni option ya mwisho sababu sina skills)
Nb boda nitampa mtu, salon mtu, maana mi sina muda. Asante karibu kwa ushauri.
Ko nifanye nini?Ushauri wangu ni usifanye biashara au kitu usicho na skills wala muda nacho Mkuu.
Nimeiweka nbc malengo accountTulia kwanza nazo...utapata tu idea
Naomba unichanganulie mkuuHapo duka la mangi, otherwise imekula kwako
VizuriNimeiweka nbc malengo account
Wewe sio mfanyabiashara na hichi kitu ndicho kinachowatesa waajiriwa.
Siri ya biashara ni uthubutu basi
Maana kwenye uthubutu ndipo utakapo jifunza
Sawa, ila kaishia tu kunichimba bitFata huu ushauri.
Unajirahisisha eeh!Si bora unipe mie nikupe kile ambacho hupewagi
Unajirahisisha eeh!
Fungua kiduka,anza kuweka vitu vidogovidogo kama sabuni,mafuta,maji,vijuisi.then utasoma ramani uje uongeze Michele unga.MdogomdogoNaomba unichanganulie mkuu
Tafuta chuma. Uwe unapiga matukio benkiNina hicho kiasi. Kichwani kwangu nina mawazo haya ya biashara lakini nasita ipi hasa na hizi zote nimezipata humu humu na kulingana na mazingira yangu.
1. Saloon na kuingiza movies na nyimbo.
2. Bodaboda ya million 1.2 dar napata nzuri.
3. Kinglion pikipiki dar ya lak 9. Then lak 4 nibebe balo la nguo za watoto mix nipite nayo vijijini.
4. Duka la mangi hususan biashara ya nafaka mchele, maharage na mafuta ya kula.
5. Niwekeze shambani huu msimu wa kilimo (hii ni option ya mwisho sababu sina skills)
NB: Boda nitampa mtu, salon mtu, maana mi sina muda. Asante karibu kwa ushauri.