M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Anza mdogo mdogoSiwezi ona aibu mkuu, ila ni hatari kuendesha chombo cha moto ukiwa huna enough skill
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza mdogo mdogoSiwezi ona aibu mkuu, ila ni hatari kuendesha chombo cha moto ukiwa huna enough skill
UFata huu ushauri.
We jamaa yaani kama umeniandikia Uzi vile mi mwenyewe Nina kiasi icho icho 1.3M imetulia ghetto sijui nifanyie nini? Kuna mawazo yananiambia nifanyie expenses za vitu muhimu aswa mavazi na assets ambazo nitaendelea kuziona,maana kufanyia business nahisi ntapoteza maana Kwa kuanzishia business ni pesa ndogo sanaNina hicho kiasi. Kichwani kwangu nina mawazo haya ya biashara lakini nasita ipi hasa na hizi zote nimezipata humu humu na kulingana na mazingira yangu.
1. Saloon na kuingiza movies na nyimbo.
2. Bodaboda ya million 1.2 dar napata nzuri.
3. Kinglion pikipiki dar ya lak 9. Then lak 4 nibebe balo la nguo za watoto mix nipite nayo vijijini.
4. Duka la mangi hususan biashara ya nafaka mchele, maharage na mafuta ya kula.
5. Niwekeze shambani huu msimu wa kilimo (hii ni option ya mwisho sababu sina skills)
NB: Boda nitampa mtu, salon mtu, maana mi sina muda. Asante karibu kwa ushauri.
Niliwai miliki salon nikauza Baada ya kupata changamoto miaka 5 iliyopitaKabla ya yoye,je wewe ulishawahi kufanya biashara yoyote au ndio unataka kujifunza?
Zitaisha ujueTulia kwanza nazo...utapata tu idea
Sio lazima.ila kama huna wazo la utaitumia wapi hyo pesa kuna watu wana mawazo kwahyo kuliko kukaa nayo kubaliana na mawazo ya mwengine wewe ubaki kuwa mwekezaji.Wewe unafikili wana wekeza UTT hawana akili? Ni vile hawajui wawekeze wapi ambapo pesa yao itakuwa salama. Tatizo la watanzania mpaka kukosa makampuni ya kutosha ni watu kutoaminiana. Unakuta watu wana milioni 20 mpaka 50 benki tena wala hazipo fixed account lkn badala watafutane vijana wenye mitaji watengeneze makampuni waanze ata kuomba tenda mbalimbali hawawezi wanasubiri kustaafu kazi ndo waanze biashara.Sitaki
Hata elf 10 inaweza fanya biashara ya aina yakeHuo
U
We jamaa yaani kama umeniandikia Uzi vile mi mwenyewe Nina kiasi icho icho 1.3M imetulia ghetto sijui nifanyie nini? Kuna mawazo yananiambia nifanyie expenses za vitu muhimu aswa mavazi na assets ambazo nitaendelea kuziona,maana kufanyia business nahisi ntapoteza maana Kwa kuanzishia business ni pesa ndogo sana
Nimeiweka nbc malengo accountSio lazima.ila kama huna wazo la utaitumia wapi hyo pesa kuna watu wana mawazo kwahyo kuliko kukaa nayo kubaliana na mawazo ya mwengine wewe ubaki kuwa mwekezaji.Wewe unafikili wana wekeza UTT hawana akili? Ni vile hawajui wawekeze wapi ambapo pesa yao itakuwa salama. Tatizo la watanzania mpaka kukosa makampuni ya kutosha ni watu kutoaminiana. Unakuta watu wana milioni 20 mpaka 50 benki tena wala hazipo fixed account lkn badala watafutane vijana wenye mitaji watengeneze makampuni waanze ata kuomba tenda mbalimbali hawawezi wanasubiri kustaafu kazi ndo waanze biashara.
Sawa...ila huo mtaji wako kununua pikipiki na kumpa mtu sidhan kama ni wazo sahihi hawa jamaa ni wasumbufu mnoSiogopi ajali Tatizo ni kua nina ajira fulani sekta binafsi ko nakuua free kuanzia sa 10 jion na wikiend tu.
Vip changamoto zakeAnza mdogo mdogo
Vip hawaleti hesabu?Sawa...ila huo mtaji wako kununua pikipiki na kumpa mtu sidhan kama ni wazo sahihi hawa jamaa ni wasumbufu mno
sawa,sasa hiyo fedha ni ndogo sana,ukiichezea tu itakwisha,ushauri wangu kwa kutegemea uko kwenye mji gani,fungua baba ntilie kwanzq,uone inavyokwendaNiliwai miliki salon nikauza Baada ya kupata changamoto miaka 5 iliyopita
Asante kwa ushauri ila hapanasawa,sasa hiyo fedha ni ndogo sana,ukiichezea tu itakwisha,ushauri wangu kwa kutegemea uko kwenye mji gani,fungua baba ntilie kwanzq,uone inavyokwenda
Hiyo ni pesa kubwa mkuuHuo
U
We jamaa yaani kama umeniandikia Uzi vile mi mwenyewe Nina kiasi icho icho 1.3M imetulia ghetto sijui nifanyie nini? Kuna mawazo yananiambia nifanyie expenses za vitu muhimu aswa mavazi na assets ambazo nitaendelea kuziona,maana kufanyia business nahisi ntapoteza maana Kwa kuanzishia business ni pesa ndogo sana
Naomba uniashauri wa lako 7 nione kama itanifeva mkuu samahani NielekezeBiashara unataka uangalizi na muda
Biashara haijaribiwi
laZima ujitoe Kwa hiyo biashara
Nadhani jitafute zaidi Kwa mbinu ulizitumia kupata hiyo fikisha million3 nitakushauri cha kufanya
Au acha kazi komaa na biashara nitakushauri hapa Kwa mtaji wa laki 7 laZima Kwa siku ukunje elfu 30, hiyo ni lazima
Kwani ana wenge nazo?🤣🤣🤣Zitaisha ujue
Ni nimemwambia hata 10k yaweza kua mtajiHiyo ni pesa kubwa mkuu
Watu wanafanya biashara ya laki 3 na wanaendesha familia
Upo mkoa Gani?Hiyo ni pesa kubwa mkuu
Watu wanafanya biashara ya laki 3 na wanaendesha familia
Kuwekeza na mtanzania ni suicide dive,kama watu wanaiba Hadi Kodi waliyotoa maskini unafikiri kuna zaidi wanaogopa,Hadi kura zinaibwa.Tz kila mtu ana vina saba vya wizi.Sio lazima.ila kama huna wazo la utaitumia wapi hyo pesa kuna watu wana mawazo kwahyo kuliko kukaa nayo kubaliana na mawazo ya mwengine wewe ubaki kuwa mwekezaji.Wewe unafikili wana wekeza UTT hawana akili? Ni vile hawajui wawekeze wapi ambapo pesa yao itakuwa salama. Tatizo la watanzania mpaka kukosa makampuni ya kutosha ni watu kutoaminiana. Unakuta watu wana milioni 20 mpaka 50 benki tena wala hazipo fixed account lkn badala watafutane vijana wenye mitaji watengeneze makampuni waanze ata kuomba tenda mbalimbali hawawezi wanasubiri kustaafu kazi ndo waanze biashara.
Watu wanadhani biashara hadi ufungue frem sinzaNi nimemwambia hata 10k yaweza kua mtaji