Nimepata Tsh. Milioni 1.3, naomba ushauri wa aina ya biashara ninayoweza kufanya

List ya biashara zote ni fresh tu, kasolo hiyo namba 5.kilimo inachanga moto hasa kama hauna ABC za kilimo. Hizo zingine risk ya kupoteza mtaji sio kubwa ila tafuta wazoefu wakupe maujanja maisha ni atua.
Shukrani
 
Fungua kibanda cha uwakala wa m pesa n.k

Nunua na freezer la vinywaji
 
Nlikua nasoma kwa makini sana, ila nlivosoma hapo kwenye bold nkawaza tu kuliko kumfungulia mtu biashara bora hela yako uinywe.

Mkuu hamna tu atafanya kazi ya kukutafutia wewe pesa, kwani ye hazitaki? Biashara ni usimamizi kama hauna muda acha tu.....
 
Ongeza wigo kwenye mchongo uliokuwezesha kuipata iyo hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…