nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #121
Ah, hapana sitaki kudai watuKopesha hela mtaaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah, hapana sitaki kudai watuKopesha hela mtaaani.
FUNGUA STATIONARY............. but zingatia location.....Nina hicho kiasi. Kichwani kwangu nina mawazo haya ya biashara lakini nasita ipi hasa na hizi zote nimezipata humu humu na kulingana na mazingira yangu.
1. Saloon na kuingiza movies na nyimbo.
2. Bodaboda ya million 1.2 dar napata nzuri.
3. Kinglion pikipiki dar ya lak 9. Then lak 4 nibebe balo la nguo za watoto mix nipite nayo vijijini.
4. Duka la mangi hususan biashara ya nafaka mchele, maharage na mafuta ya kula.
5. Niwekeze shambani huu msimu wa kilimo (hii ni option ya mwisho sababu sina skills)
NB: Boda nitampa mtu, salon mtu, maana mi sina muda. Asante karibu kwa ushauri.
Pesa haitoshi, kua serious basFUNGUA STATIONARY............. but zingatia location.....
Tafuta dogo umtengeneze genge la matundaNina hicho kiasi. Kichwani kwangu nina mawazo haya ya biashara lakini nasita ipi hasa na hizi zote nimezipata humu humu na kulingana na mazingira yangu.
1. Saloon na kuingiza movies na nyimbo.
2. Bodaboda ya million 1.2 dar napata nzuri.
3. Kinglion pikipiki dar ya lak 9. Then lak 4 nibebe balo la nguo za watoto mix nipite nayo vijijini.
4. Duka la mangi hususan biashara ya nafaka mchele, maharage na mafuta ya kula.
5. Niwekeze shambani huu msimu wa kilimo (hii ni option ya mwisho sababu sina skills)
NB: Boda nitampa mtu, salon mtu, maana mi sina muda. Asante karibu kwa ushauri.
Shukrani mkuu, muda ninao ila sio full time ndio maana natamani nijikite katika biashara fulan fulani1.3m (huna muda)
Watu wanauza viwanja kila ukipita spika zinatangaza viwanja.
Kanunue PLOT (mashamba) yako ya laki 3 x 4 = 1.2m (hiyo 100k ilobaki itumie kama matumizi)
Tunza mashamba yako au viwanja vyako mpk utakapokuja kupata muda na pesa zaidi kisha itauza yale mashamba yako kwa bei ya juu Utarudsha pesa yako utaunganisha na uliyonayo wakat huo utafanya jambo.
Au
Yote 1.3m tafuta Kiwanja cha 1.3m nunua kiache hapo kitulie kwakua hauna muda nadhani ndio jambo pekee ambalo hutopoteza pesa yako ukilifanya.
Ungekua na MUDA ningekushauri vinginevyo as long as ushasema muda huna wa kuwa katika biashara utayofungua basi wewe Hela imvest yote kwenye KIWANJA.
Kiwanja vina panda bei kila mwaka,usijifikirie eneo hilo ingia mzima.mzima na 1.3m yako mwaka 2027 rudi itafute hio comment yangu, unishukuru.
Mh, matunda risk kubwa mkuu ya kuozaTafuta dogo umtengeneze genge la matunda
Au tafuta sehem yenye mzunguko ufungue saloon ya kiume uweke kinyozi iwe piskali wabongo lazima uwakamateMh, matunda risk kubwa mkuu ya kuoza
Mkuu suala la kuwa na Akaunti ya Benki ni Muhimu Kwa Wafanya biashara.Ko natakiwa nikipata ela niweke benk?
Toto mamboUmeipata wapi?
Na kama anaanza tu na anafikiria kuweka mtu basi hana uthubutu unaohitajika.Wewe sio mfanyabiashara na hichi kitu ndicho kinachowatesa waajiriwa.
Siri ya biashara ni uthubutu basi
Maana kwenye uthubutu ndipo utakapo jifunza vingi
Zitamwishia ghafla bin vuuTulia kwanza nazo...utapata tu idea
Kivp mkuuNamba 2 uhakika kuhusu boda boda
Joined yesterday 💔Toto mambo
Karibu pm tuyajenge mremboJoined yesterday 💔
Kama bodaboda ml 1. 2 unapata ambayo Iko vizuri hiyo ndio biashara kikubwa tafuta derevq muaminifuKivp mkuu