Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Umemuita wa kwanza akakugonga ukaona haitoshi ukamuita mwingine akakugonga unapenda mgegedo[emoji23][emoji23]
 
Duh siku hizi binadam sawa na mbuzi mpaka mtoto babake kumpata unacheza sandakalawe
 
ni mimba ya jini mahaba
 
pale ardhi inapopandwa na wapandaji wengi lzm ichanganyikiwe mengine mabua n.k
huyo mtoto atakuwa na baba wengi usikute hata mimi ni baba yake
 
Uki fikiri vizuri...utajua tu mimba ni ya nani. Ila kama hujui ni ya nani chagua unaye mpenda sana kati yao na umwambie. Kama huna unaye mpenda sana..basi kuwa single mother.
 
Kitu cha muhimu sana nikwambie. .mtoto kumpa last name ambayo sio yake ni majanga makubwa sana kwa maisha ya mtoto. .Trust me on that!
 
View attachment 401467View attachment 401467
Vipi huu ujauzito ni mwingine au ni ule Wa 2013 ?
Maana ulitangaza kutulia sasa sijui ,kama umepigwa p na wawili ndani ya Masaa he ulivyokua hujatulia di ulikua shidaas
Babeeeki changudoa changudoa tu...wanaume mna kazi angalien msiiingie mtego mkaoa mtu km huyu mtakufa kwa ukimwi na puureeeshaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mume wa mtu ndo mwenye kijusi..ila sasa jiandae kisaikolojia mana umeuwasha moto..muda mwingine muwe mnaangalia makabila ya kuwajaribu na hizo mimba kama kwetu wewe unaweza kuja zaa muhogo kwa mambo ya kujitakia
Mhh wewe in kabila gani
 
Mshikishe yule aliyemwaga n'je, we komaa nae tu mana huyu mume wa mtu tambua si wako,na siku yeyote anaweza kurudiana na mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…