maamuzi sahihi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 288
- 165
Umemuita wa kwanza akakugonga ukaona haitoshi ukamuita mwingine akakugonga unapenda mgegedo[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vile vile kama ulivyolelewa.!!!!teh teh .....
Asilimia kubwa ya wanaume wanalea watoto wasio wao........[emoji27]
Evelyn salt.....Unaonekana wewe ni kiungo muhimu sana kwa mboga ya usiku! Mbinu kama hiyo huwezi kuijua kama hujawahi kucheza nafasi muhimu kama ya kiungo.
ni mimba ya jini mahabaNilisafiri kwenda mkoa fulani kikazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Daaaah... Wewe hatariii kweli kweli mkuu!!!Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
We ulidhani hamuoni,acheni maneno yenu yakipumbavu yakumtaja taja Mungu kwenye upuuzi...Eti Mungu anakuona huo ni ushenzi ,badilika weweWe Dada....mungu anakuona![emoji21] [emoji21]
Babeeeki changudoa changudoa tu...wanaume mna kazi angalien msiiingie mtego mkaoa mtu km huyu mtakufa kwa ukimwi na puureeeshaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13]View attachment 401467View attachment 401467
Vipi huu ujauzito ni mwingine au ni ule Wa 2013 ?
Maana ulitangaza kutulia sasa sijui ,kama umepigwa p na wawili ndani ya Masaa he ulivyokua hujatulia di ulikua shidaas
Nyau wewe..mi na mapenzi wapi na wapiMbona ulisimulia ata wa kwako alipeperuka hivyo hivyo
nimem handle vizuri akiponyoka narudi kwenye nyetoNyau wewe..mi na mapenzi wapi na wapi
Af vipi yule aliyekuonea huruma kwa tatizo lako la nyeto.Mnaendeleaje??hahahaha
Mhh wewe in kabila ganiMume wa mtu ndo mwenye kijusi..ila sasa jiandae kisaikolojia mana umeuwasha moto..muda mwingine muwe mnaangalia makabila ya kuwajaribu na hizo mimba kama kwetu wewe unaweza kuja zaa muhogo kwa mambo ya kujitakia
Hahahahah,em niPM namb yko tuchekiane wasap we mweunimem handle vizuri akiponyoka narudi kwenye nyeto