Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh tehKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Duu!!pole sana mazaa!!ila inaonyesha unpenda sana kugegedwa!!yaani umefika hotelin tuu hapo hapo ukatafuta mwenyewe gegeduo!!wee noma haki ya mungu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Ili nalo jibu kweli. Mimba yake anauliza ya naniUnauliza mimba ya nani wakati unayo wewe? Acha maslahara
Tena siyo mmoja bali wawili. Inaonekana akiwa safari alikuwa anawapanga kwa masaa. Uko ni Morogoro je Arusha ana wangapi. Akienda Dar nako anawapangaDuu!!pole sana mazaa!!ila inaonyesha unpenda sana kugegedwa!!yaani umefika hotelin tuu hapo hapo ukatafuta mwenyewe gegeduo!!wee noma haki ya mungu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani mpaka hapo tayari inaonyesha ni kicheche[emoji85] [emoji85]Tena siyo mmoja bali wawili. Inaonekana akiwa safari alikuwa anawapanga kwa masaa. Uko ni Morogoro je Arusha ana wangapi. Akienda Dar nako anawapanga
Kuna mahali niliandika hivyo.Kuna thread maalum humu za kuwatoa watu povu...
Kuna mahali niliandika hivyo.
Mimi nikisoma huwa nacheka tu. Halafu nahisi ni Mtu mmoja.
Wanajua Mwanaume ukisoma hivyo lazima upagawe
Umeshalikoroga huna budi kulinywa.... ingekua vizuri kama ungekuja kuomba ushauri kabla ya kugegedwa, nakutakia ufyatuaji mwemaNilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.
Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.