Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.

Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Ivi huu ujasiri mnautoaga wapi nyie watu?
 
HALAFU KWA AKILI KAMA HIZ KWEL WANAWAKE MTAENDELEA KUTAWALIWA "YAANI MIMBA UNAYO WEW THEN UNATUAMBIA HUJUI NIYA NAN"NDO HIVYO HIVYO HATA MTOTO UTAKAYEJIFUNGU,WATU HAWATAKUAMIN KUW NI WAKO"LZM WAKUULIZE HUYO MTOTO N WA NAN?KAMA HUAMINI JIFUNGUE UTANIPA MAJB,INSHORT HAKUNA MNACHOMILIK HUMU DUNIAN VYOTE NI VYETU(WANAUME)
 
sasa ndio maana nmekubali kwann umejiita retired sister dah... kwel watu wawil per night,

huyu mnaoish nae sa hv anajua mimba ni ya kwake?
 
Ulienda kikazi kweli au ulienda kugegedwa maana sielewi hii inaonyesha ni jinsi gani kazi za nyumbani ni usanii maana huku nchi za watu ukienda mahali kikazi sometimes hata muda wa kula huna wewe unagegedwa tiyari na wanaume wawili kweli hii nchi ya viwanda.
 
Hongera kwaa group sex yako,,,Huyo was kwanza ndo mwenyewe au kuna nth term nyingine umesahau!!!

hahahaaa yaweza ikawa kuna aliyefichwa hapo katikati. ila naumia kuona kuna mtu analamba gharasha
 
cc tusemeje sasa kama ulipenda kuwachanganya
 
Kikwetu huyo dogo atakaye zaliwa ataitwa chilokote maana hana Baba.
 
Na wewe una kiranga sana , umeshasex na mume wa mtu kwa nini umpigie tena mpenzi mwingine siku hiyo hiyo? hivi kusema hujui mzunguko wako wa mwezi na siku za hatari?

Tunafanya kampeni ya kupunguza single mama lakini naona ndiko unakoelekea.

cha kufanya tulia kwanza uzae baadaye angalia mtoto anafanana na nani? mpe mtoto
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Unaonekana wewe ni kiungo muhimu sana kwa mboga ya usiku! Mbinu kama hiyo huwezi kuijua kama hujawahi kucheza nafasi muhimu kama ya kiungo.
 
duuuh... jman wnawake nyieeee..... hpo mtu lzma ahudumie k2 ch jmaa mwngne....
 
Laana ya umalaya itakufuata mpaka kaburini. Hapo lazma uzae kapimbi. Kudadadeki.
 
Huyo was kwanza ndo mwenyewe au kuna nth term nyingine umesahau!!!
Mkuu naona huyo haishii kwenye nth term anaweza kwenda infinite maana naona series yake ndefu imagine in one day two men tena akiwa safarini. Sasa huko anapokaa si atakuwa na infinite series?
 
Nilisafiri kwenda mkoa fulani kizazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.

Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Duh! Wanaume kazi ipo, ukiwa unalinda coco beach wenzio wanaogelea Kawe tu! Umekosea ila kuna uwezekano mkubwa kuwa huyo wa kwanza kukupiga siku hiyo ulotoka na wawili ndo mwenye mtoto
 
Back
Top Bottom