Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Vipi Unaendeleaje na mimba yako? Ulipata mtu wa kumsakizia?

Hapa kweli 70% ya wanaume tunasingiziwa watoto!
 
Ya mume wa mtu.Ila hata hivyo mwili wako siyo siri tena ni wa jamii.
Subiri azaliwe.
 
Mimba ni ya kwako mwenyewe na kiranga chako, kuna wanawake mnaakili fupi kuliko kisoda.
 
Mkemia mkuu yupo sahihi zile asilimia 40 zitazidi kushuka kuwa 10
 
Ni kweli hujui au unaigiza? Wa arusha sio yake mmepishana mwez, alieokjolea nje sio yake sabab hamkufanya pure penetration....haya kabaki mmoja au kuna wengine hujawataja
 
hivi kumbe na humu bado kuna wanawake wenye umalaya wa namna hii? siku moja wanaume wawili sehemu mmoja na chumba umelipa mwenyewe
 
Nitaje mm kua ninahusika na huo ujauzito thn nitalea mtoto
 
Mh hii ngum kumeza dadeki! Hadi nashindwa jinsi ya kushauri aisee
 
hebu fafanua hapo ulisex bila penetration ila akakumwagia kwa nje😵 mlikua uchi au hamkuwa uchi? alimwaga juu ya nguo? nimeshindwa kuimeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…