Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Wewe jinga umenikumbushasha kipindi niko chuo Kuja demu nilikuwa natoka nae ila alikuwa anaishi mwanaume (hawajaoana ila familia zinajua kuwa hao ni wapenzi na bado kidogo walikuwa wafunge ndoa) alikuwa na safari ya kwenda kwa mume wake week moja yote tulikuwa tunalala nae ile week akasepa alivyofika kwa bwana ake nae akapiga alivyo rudi nikampokea nikapiga sasa week iliofuata ilikuwa ndo aingie kuchinja jogoo (period)
demu akanipigia Simu niende room kwake kufika namkuta hana furaha kumuuliza sindo akaniambia ana mimba
nikamwambia tumsingizie jamaa alafu mm nile akakubali
ila jamaa yake sijui alienda toa maana sijawai pata mrejesho wa ile Mimba tena
 
Fanya ana ana ana doo, kachanika pastoo, kaajamba, ushuzi unanukaa, tena saana , sana kabisa....atakae kua wa mwisho kudondokewa na kidole ndio mwenye mzigo
 
Dah hapo km sijaelewa ujui mimba ni ya Nani au unaomba ushauri mimba umpe Nani, wkt unasex unajua aliyekupa iyo mimba
 
Kwa sasa Fanya kuilea mimba! Baada ya kujifungua angalia ana fanana na nani afu umwambie!
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Evelyn umetisha. Nimecheka hadi wananishangaaa
 
Mimi hapo ndio huwa nawashangaa. Umesema ni mume wa mtu halafu ukasema wameshaachana...! Sasa utasemaje ni mume wa mtu wakati wameshaachana?
 
Sasa huku jf ndo kuna gest uliyotumia kusex au ndo ss tukishuhudia ulipokuwa unafanya umalaya wako jinga kweli ww nenda kaulize pale gest ulipotoa papuch ndo watakuambia mimba ni ya nani
 
Subiri azaliwe Waite wakapime DNA atakaye kuwa wake utaolewa naye maana wote niwazuri tuu. Usikisie ukumpa mtu mtoto asiye wake. Unaonaje ushauri wangu?
 
Inawezekanaje usijue au na wew maria mama wa Yesu wa pili?
 
Huyo atakuwa wangu, em ukuje tulee
 
Ongera yakupasa ushukuru kwa kuwa na uzazi katki kizazi chako
 
kwan hiyo mimba anayo nani???
kama unayo wewe...!!!
ni ya kwako!
 
Nakuuliza swali kama ukipata pesa itakuwa ya nan???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…