Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Peleka kwa mamako! Mwambie akufafanulie mambo hayo yanamaana gani kutokea kwako!
 
Hilo nalo neno mamake
 
Itakua ya mani fongo mpelekee
 
Hahaha naona week hii wanawake wameamua kuwatoa mapovu wanaume
 
Tumeambiwa tufyatue watoto huyo ndio kaanza
 
Ukioa type kama hii ni zaidi ya jipu. Ukazini na mtu akaondoka hujaridhika ukaona uite mwingine duuu kweli dunia hadaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…