Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nilisafiri kwenda mkoa fulani kikazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.

Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Peleka kwa mamako! Mwambie akufafanulie mambo hayo yanamaana gani kutokea kwako!
 
Mmmmhhh hata mimi nilipitia "Usichana" lakini hii yako ni "Chiboko" wanaume wawili per night?? Aiseee..... Hongera sana kwa kupata hiyo mimba...... maana siku hizi pia kupata mimba nayo ni "deal"........ Ukianza kuumwa kiuno na mgongo usitafute mchawi.... uchawi wako upo kwenye kuchanganya shahawa bila mpangilio ni hayo tuuu
Hilo nalo neno mamake
 
Nilisafiri kwenda mkoa fulani kikazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.

Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Itakua ya mani fongo mpelekee
 
Na wewe una kiranga sana , umeshasex na mume wa mtu kwa nini umpigie tena mpenzi mwingine siku hiyo hiyo? hivi kusema hujui mzunguko wako wa mwezi na siku za hatari?

Tunafanya kampeni ya kupunguza single mama lakini naona ndiko unakoelekea.

cha kufanya tulia kwanza uzae baadaye angalia mtoto anafanana na nani? mpe mtoto
Tumeambiwa tufyatue watoto huyo ndio kaanza
 
Ukioa type kama hii ni zaidi ya jipu. Ukazini na mtu akaondoka hujaridhika ukaona uite mwingine duuu kweli dunia hadaa
 
Back
Top Bottom