Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Umekosa wa kubambika,wenzio huwa wanatukubali haraka! we wapi....
 
Usimwambie yeyote! Subiri ujifungue alafu pima DNA kisirisiri
 
Ukiambiwa we ni malaya utakataaa??? Mimba ni yako mwenyewe mana we ndio uliibeba...
Et mume wa mtu anakupenda nyoooo tafuta wako.....una uhakika km unapendwa...hovyoooo ukahaba tu wadada wengine mnaboa baadar eti nawe waja wataka husband material wkt wewe k ju uu juu
 
Mchague mwenye mtonyo mkubwa kuliko wenzake.
 
we hujielewi afu unataja mkoa wetu kijinga kwel cku nyingne sema hata singida
 
I cannot imagine if you're not joking! Umeeleza as if ni kitu simple kuwa na multiple partners na wote unakuwa nao bila protection Du!
 
Nilisafiri kwenda mkoa fulani kikazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.

Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
 
Daah inaonekana nyapu kwako kuitoa mwanaume hatumii nguvu nyingi..ntashangaa kama mim ukinikatalia hata namba yako ya simu niwe anko wa hiyo mimba
 
Hii ni kachumbari mix.....yaani hata sijui unawezaje kuchanganya watu hivo bila hata aibu huna consious ww mwanamke utakufa kwa maradhi siku si zako!
 
Kama ulitiwa na mume wa mtu huyo single ulimuita tena wa nini sasa,halafu unambania akojoe nje. Mimba ni ya mzee mzima we mpe jukumu lake hilo
 
Back
Top Bottom