Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Kuanzia Leo tusijuane kumbe unao wengi hivyo?

Hakika usimwamini mwanamke hata chembe upendo wote ule umeenda kugegedwa na mimba juu
 
Kufanana sio kipimo cha baba wa mtoto mimi nilizaa mtoto ambaye baada ya mwaka tukapata jirani mpya amehamia mtaa wetu simjui masikini ya Mungu mwanangu alifanana sana yule kaka na walikua wanapatana haswaa maana Abeid wangu usipomuona nyumbani jioni basi yupo nyumba jirani kwa uyo kaka,Lakini hakua baba yake ni ufanano tu wa kibinadamu sasa hivi ndo karudisha sura ya dingi yake! Kwaiyo asiwabambikie kwa kigezo cha ufanano Duniani wawili wawili sawa sawa na Jike shupa + shilole
Duuuh, basi sjui labda DNA maana kama vile ngoma nzito hapo
 
Sasa hiv mtoto akifikisha Mwaka ni KUPIMA DNA TEST AISEE TUSIJE KULEA MTOTO AMBAE BABA YAKE YUPO HUKO ANAPAKA PODA NA SCRUB NA KUJIPOST INSTA
 
Serekali iruhusu tu watu wawe wanapima DNA kama malaria ili kila mwananchi awe na uhakika na watoto anaowalea
 
kahaba wewe kapime tena ngoma. Toka jana humu kuna post za kizinzi tuu. Kaeni kimya na upuuzi wenu
 
Sasa na uyo wa usiku mmoja wanaume kumi ndo tumuelewaje sasa

Kuna demu wa mshkaji wangu pia alikuwa anapewa kila kitu na bado akapeperuka

Aisee nyie wanawake mnajojuaga wenyewe Tu.Mungu atusamehe tunapowasemaga vibaya.Ukweli wenu mnaujua wenyewe
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Unanikoshaga hapo tu shosti. Kupatwa kwa mimba kutahusika maana yeye mwenyewe design anataka kote kote, hala hala wasijemtosa wote
 
Sasa na uyo wa usiku mmoja wanaume kumi ndo tumuelewaje sasa

Kuna demu wa mshkaji wangu pia alikuwa anapewa kila kitu na bado akapeperuka

Aisee nyie wanawake mnajojuaga wenyewe Tu.Mungu atusamehe tunapowasemaga vibaya.Ukweli wenu mnaujua wenyewe
Mbona ulisimulia ata wa kwako alipeperuka hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom