myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
hahahaaa...alikuwa mama huruma.!Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa...alikuwa mama huruma.!Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Duuuh, basi sjui labda DNA maana kama vile ngoma nzito hapoKufanana sio kipimo cha baba wa mtoto mimi nilizaa mtoto ambaye baada ya mwaka tukapata jirani mpya amehamia mtaa wetu simjui masikini ya Mungu mwanangu alifanana sana yule kaka na walikua wanapatana haswaa maana Abeid wangu usipomuona nyumbani jioni basi yupo nyumba jirani kwa uyo kaka,Lakini hakua baba yake ni ufanano tu wa kibinadamu sasa hivi ndo karudisha sura ya dingi yake! Kwaiyo asiwabambikie kwa kigezo cha ufanano Duniani wawili wawili sawa sawa na Jike shupa + shilole
Unasemaa? Hebu rudia tenazinaingia kwa njia ya wireless au Bluetooth au infared? acha kutetea ujinga.
Mkuu hiyo italeta athari kubwa sana katika ndoa.Serekali iruhusu tu watu wawe wanapima DNA kama malaria ili kila mwananchi awe na uhakika na watoto anaowalea
Ndoa hazina maana iwapo hatufuati sheria na taratibu za ndoa hizoMkuu hiyo italeta athari kubwa sana katika ndoa.
Sasa na uyo wa usiku mmoja wanaume kumi ndo tumuelewaje sasapesa
Unanikoshaga hapo tu shosti. Kupatwa kwa mimba kutahusika maana yeye mwenyewe design anataka kote kote, hala hala wasijemtosa woteKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
ha ha ha. mwacheni mwenzenu jamani. Tukio la kupatwa kwa mimba linamchanganya, hajielewi mimba ya naniIli nalo jibu kweli. Mimba yake anauliza ya nani
Mbona ulisimulia ata wa kwako alipeperuka hivyo hivyoSasa na uyo wa usiku mmoja wanaume kumi ndo tumuelewaje sasa
Kuna demu wa mshkaji wangu pia alikuwa anapewa kila kitu na bado akapeperuka
Aisee nyie wanawake mnajojuaga wenyewe Tu.Mungu atusamehe tunapowasemaga vibaya.Ukweli wenu mnaujua wenyewe