Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Yaani wa kwanza mbegu zimezama na Wa pili mbegu nje na mpenzi wako umesex nae baada ya mwezi jibu ni huyo Wa kwanza mbegu zilizozama tu na majira yake yanaendana
 
Mchuma janga hula na wakwao,
kwa mtindo huu sikubali mtoto mapa awe copyright
 
wajoin kwenye kundi moja la whatsapp kisha waambie mimba ni yao wote kwa kuwa kila mmoja ana mchango wake then angalia mwitikio wa atakayekupa like za kutosha ndo awe baba kijacho!
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Nimecheka mie na kupatwa kwa mimba
 
Pole. Vipimo vya DNA ndo vyenye majibu ya maswali yako.
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Nimegundua kina dada ni watumiaji wa bangi wazuri tu[emoji13] [emoji13]
 
Ukiambiwa we ni malaya utakataaa??? Mimba ni yako mwenyewe mana we ndio uliibeba...
Et mume wa mtu anakupenda nyoooo tafuta wako.....una uhakika km unapendwa...hovyoooo ukahaba tu wadada wengine mnaboa baadar eti nawe waja wataka husband material wkt wewe k ju uu juu
Ungekuwa hujaolewa ningekuoa, ina akili sana.
 
Back
Top Bottom