Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahhahahahaahahah nyokooooKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Nimecheka mie na kupatwa kwa mimbaKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Eti uyo wa pili hakumwaga ndani hahahaaDuhhhh yaani umepiga peku na wanaume wawili kwa usiku mmoja. 😵😵😵
Nimegundua kina dada ni watumiaji wa bangi wazuri tu[emoji13] [emoji13]Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Ungekuwa hujaolewa ningekuoa, ina akili sana.Ukiambiwa we ni malaya utakataaa??? Mimba ni yako mwenyewe mana we ndio uliibeba...
Et mume wa mtu anakupenda nyoooo tafuta wako.....una uhakika km unapendwa...hovyoooo ukahaba tu wadada wengine mnaboa baadar eti nawe waja wataka husband material wkt wewe k ju uu juu