Dallydelux
New Member
- Nov 22, 2020
- 4
- 8
Nimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado sijaweza kwenda hospitali . Je, ni ugonjwa gn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaswende hii mkuu wahi hospital. Nenda hospital siyo zahanatiNimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado cjaweza kwenda hospital . Je ni ugonjwa gn?
View attachment 1689802
Kisonono ni gonorrhea ,hiyo ni kaswende aka syphilisKisonono hiki mkuu wahi hospital
Kweli kabisa nimechanganya kiswahili. Ila huyu jamaa awahi sana hospitali yeye na mke/mpenzi wake kabla hali ya baba wa taifa haijawa mbayaKisonono ni gonorrhea ,hiyo ni kaswende aka syphilis
Wahi mapema kamuone daktari...
Pole mkuu.Nimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado cjaweza kwenda hospital . Je ni ugonjwa gn?
View attachment 1689802
Chancre vs Chancroid, T.pallidum vs H.ducrey.Pole sana mkuu.Je kidonda hicho kinauma?Katika dalili za mwanzo za Kaswende( syphillis) kidonda kama hicho hutokea kitaalamu inaitwa chancre lakin huwa ni painless ( hakina maumivu) lakin whatever the case wahi hosp kwa matibabu ndugu usije ukaharibu mfumo wako wa uzazi.