Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

Kweli "mficha uchi, hazai"

Nenda hospital chief, nahofia yaweza kuwa pangusa, ikakupangusa kalunguyeye.
 
Acha kupotosha kama hauna taaluma ya udaktari au utabibu.
Nawewe acha kiherehere kaka naongea ktu ambacho na experience nacho na akileta mrejesho mtoa mada utajua ww ni taga
 
Na uhakika hiyo pisi lazima iwe na Tako otherwise nitakulamu.

ebu assume mm ndo malaika mtoa roho nakuliza eeh we mbona haraka haraka wap!!? ukiisifia pisi vizur umepona😅😅😅😅 nitakufikiria
 
Nawewe acha kiherehere kaka naongea ktu ambacho na experience nacho na akileta mrejesho mtoa mada utajua ww ni taga
Experience gan unaongelea sasa wakat kila siku hizo case tunakutana nazo clinic.
Haya daktari wewe ni mshindi
 
Tuzingatieni matumizi sahihi ya kondomu wakuu.
 
Kaswende hii mkuu wahi hospital. Nenda hospital siyo zahanati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabongo mna visa!!!! Ukija kuelewa ni akina nani wana management za haraka ..... Hautoandika unachokiandika
 
Usiogope hyo ni fungus tu ya kawaida chukua ethromythin na citizen sku 3 tu utaona mabadiliko makubwa sana
Treating fungus with antibiotics? Like seriously? Mmmh hata M.A hawezi toa haya matibabu. Next time usijaribu kuandika usilolifahamu utapotosha umma.

Wrong Dx plus wrong Rx
 
Nyie madaktar wa lumumba nyie
Wewe acha kupotosha. Lini uliona fungus wanatibu na antibiotics? Pharmacology uliyosoma wewe ni kutoka wapi nyasa? Au manzese.

Tunachozungumza ni facts na uhalisia unapotosha tena sana Nilipita kimya ila nilipoona text yako ya ubishi ikabidi nikutafute na nijue unachokibishia ni nini kumbe ni wrong Dx plus wrong Rx then unajiita mtaalamu? Utatuulia watoto wetu? Kasome ndugu na ujue unachokibishia kama kina uhalisia.

Jukwaa la JF Doctor wanasoma na kupitia watu wengi humu, tujifunze incase unahisi hufahamu chochote kuhusu mada pita kimya au toa ushauri aonane au aende hospitali siyo kutujia na wrong Dx plus wrong Rx na unajisifu na kujinadi.
 
Back
Top Bottom