Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Usikute alizama chumvini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado sijaweza kwenda hospitali . Je, ni ugonjwa gn?
Nenda hospitalNimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado sijaweza kwenda hospitali . Je, ni ugonjwa gn?
Mmefanya mgonjwa amekimbia 🤣🤣🤣Hapo hapaponi tena .
Pole sana..
Hayo ndio madhara ya kupiga nyeto na sabuni ya unga[emoji23][emoji23][emoji23]
Wahi kwa dokita wewe huku hamna dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri ukafika kituo cha afya kwa matibabu na ushauri. Huu ni ugonjwa wa ngono unaitwa Chancroid, wahi matibabu maana penis itachakazwa mbaya na vidonda.Nimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado sijaweza kwenda hospitali . Je, ni ugonjwa gn?
Anaumwa kweli si unaona ina makunyanzi sana?Umenifanya nicheke zaidi sasa[emoji3][emoji3][emoji3] kama bro anaumwa tufanyaje! Mficha maradhi kifo humuumbua mkuu.
Makunyanzi si ndiyo asili yake mkuu! Kwani kuna zisizo nayo😉Anaumwa kweli si unaona ina makunyanzi sana?
Unamaanisha huuu.mhhhhPangusa
YesUnamaanisha huuu.mhhhhView attachment 1698793
Nmetetemeka sana, mhhh jez muhimu sana
aaaah tnx to god. Nimepona kabsaa vidonda vimekwisha pona vyote na sasa nipo salama. Yote ni baada ya kwenda hospital ila ilikua kipengere kidogo maana doctor alikuwa wa kike😅.Nimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado sijaweza kwenda hospitali . Je, ni ugonjwa gani?....
Ohoo. Kaswende na gono wote ni bacteria.aaaah tnx to god. Nimepona kabsaa vidonda vimekwisha pona vyote na sasa nipo salama. Yote ni baada ya kwenda hospital ila ilikua kipengere kidogo maana doctor alikuwa wa kike[emoji28].
But ugonjwa ulikuwa sio kaswende wala gono ilikua ni bacteria ndo walio weza nipata na hii bila shaka imetokea baada ya kukutana na mwanamke cku 4 mbele ndo dalili zilianza onekana.
Aah my advice tuwe makini tu ndugu zangu maana hili ni balaa.
Asanten kwa ushauri kwa wenu.