Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

Aibu itakuua... wahi hospital acha kuhofia aibu utakayoipata ukifika kwani kuendelea kuficha ficha huenda kukakusababishia aibu maradufu
 
I have questions, vinawasha?
Je ukikuna vina kupa raha flani addictive inayofanya uendelee kukuna?
Una mda gani navyo ? Tuanzie hapo
Dallydelux njoo ujibu maswali haya mkuu
 
Back
Top Bottom