Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

Kuloweka Bila Kamfuko (Condom)
Ni Shida, Utapona Wahi Tiba
 
Aibu itakuua... wahi hospital acha kuhofia aibu utakayoipata ukifika kwani kuendelea kuficha ficha huenda kukakusababishia aibu maradufu
 
I have questions, vinawasha?
Je ukikuna vina kupa raha flani addictive inayofanya uendelee kukuna?
Una mda gani navyo ? Tuanzie hapo
Dallydelux njoo ujibu maswali haya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…