Nawewe acha kiherehere kaka naongea ktu ambacho na experience nacho na akileta mrejesho mtoa mada utajua ww ni tagaAcha kupotosha kama hauna taaluma ya udaktari au utabibu.
[emoji23][emoji23][emoji23]umedowload telegram?[emoji848][emoji848][emoji848]
Hahaha mkuu kwa stress alizonazo za vidonda itasimamaje tena ?Ungesimamisha kwanza ndio upige picha... Hapo vidonda havionekani vizuri maana vimefichwa na mkunjamano wa ngozi
Inasimama.Hahaha mkuu kwa stress alizonazo za vidonda itasimamaje tena ?
hahhahahahaha, pale Mwajuma ndio aliyeleta iyo pangusa, wallah italala zaidiInasimama.
Cha muhimu avute kumbukumbu ya mechi aluzocheza na Mwajuma
Experience gan unaongelea sasa wakat kila siku hizo case tunakutana nazo clinic.Nawewe acha kiherehere kaka naongea ktu ambacho na experience nacho na akileta mrejesho mtoa mada utajua ww ni taga
Halafu anakuta dokta ndio ww.π€£π€£ππDuuh pole mkuu! Wahi hospital utajua huko huko ni aina gani ya ugonjwa, π€
Ndiyo ntamhudumia tu! Ila mmh ππHalafu anakuta dokta ndio ww.π€£π€£ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabongo mna visa!!!! Ukija kuelewa ni akina nani wana management za haraka ..... Hautoandika unachokiandikaKaswende hii mkuu wahi hospital. Nenda hospital siyo zahanati
Treating fungus with antibiotics? Like seriously? Mmmh hata M.A hawezi toa haya matibabu. Next time usijaribu kuandika usilolifahamu utapotosha umma.Usiogope hyo ni fungus tu ya kawaida chukua ethromythin na citizen sku 3 tu utaona mabadiliko makubwa sana
Kaswende+ kisononoNimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado sijaweza kwenda hospitali . Je, ni ugonjwa gn?
Nyie madaktar wa lumumba nyieTreating fungus with antibiotics....? Like seriously? Mmmh hata M.A hawezi toa haya matibabu.... Next time usijaribu kuandika usilolifahamu utapotosha umma.....
Wrong Dx plus wrong Rx
Wewe acha kupotosha. Lini uliona fungus wanatibu na antibiotics? Pharmacology uliyosoma wewe ni kutoka wapi nyasa? Au manzese.Nyie madaktar wa lumumba nyie
Acha uongo kiongoziUsiogope hyo ni fungus tu ya kawaida chukua ethromythin na citizen sku 3 tu utaona mabadiliko makubwa sana