Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Haya jipe moyo wakimnasa na kumrejesha mtaanza kulaumianaNimemdanganya nini? Hakuna nchi yoyote ambayo hakuna wazamiaji wewe ndio uache kudanganya watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya jipe moyo wakimnasa na kumrejesha mtaanza kulaumianaNimemdanganya nini? Hakuna nchi yoyote ambayo hakuna wazamiaji wewe ndio uache kudanganya watu.
Asylum zinapatikana kwa interview usidanganywe na mtu.Sasa hiyo ya usenge na usagaji wakitaka kujiridhisha inamuaje kama siyo kweli??
Nioneshe Mtanzania unayemjua aliyerudishwa Canada.Haya jipe moyo wakimnasa na kumrejesha mtaanza kulaumiana
Nime ku pm mkuuAsylum zinapatikana kwa interview usidanganywe na mtu.
Wapo wahuni tu wa vijiwe vya Dar wazamia meli wamemwagwa hapo Canada na claim yao wao ni wakimbizi na wamepewa makaratasi na wanalipwa public fund, wanaotaka kusoma wanapelekwa shule.
Canada ndio nchi pekee duniani yenye uhitaji wa raslimali watu.
JF ya sasa imebadirika sana, utanisamehe mkuu.Nime ku pm mkuu
Hata mm nafahamu hivyo mkuu. Ila nia yangu siyo ovu ni kupata uelewa tuJF ya sasa imebadirika sana, utanisamehe mkuu.
Funguwa website zao soma information.
Utafia jela nduguWakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue.
Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi ya kupata makazi maana sina Social Insurance Number (SIN) na nasikia bila hiyo huwezi fanya chochote cha maana ila potelea mbali nyie nijuzeni mbinu zote mnazodhani zitanisaidia.
Pia kama unafahamu recruitment agency ambayo inaweza nipatia kazi bila kuwa na documents, usisite kunijuza, siamini kama huko hakuna dhambi hivyo njia za panya zitakuwepo tu.
Karibuni wadau mnaoishi huko.
NB: HATA MKINITISHA KUWA MAISHA NI MAGUMU NAKUJA, MBONA NYIE HAMRUDI?
BoraUtafia jela ndugu
Asante sana mkuuHongera sana.
Cha msingi ni kufika pale mengine yote utazidishiwa.
Nani umewahi kusikia kaenda akarudi kwa ugumu wa maisha... Exactly. Hayupo. So inawezekana.
Canada sio pagumu sana kama USA ndo maana wengine wakifika USA wanajilipua kutafuta ukimbizi Canada ila hapajangamka sana kama nchi ya maziwa na asali 🇺🇲
Kazi za under the table zipo Kila sehemu kikubwa upate mwenyeji Mmatumbi mwenzako atakupa ramani zote.
Hujui
Wewe huijui Kanada. Watakurudisha vinginevyo useme wewe ni msenge au msagaji. System yao hsipenyeki
Sasa hiyo ya usenge na usagaji wakitaka kujiridhisha inamuaje kama siyo kweli??
Maskini wazungu ndo walitumalizia vijana kumbe akikubali kuwa ni shoga au msagaji anapokelewa kwa mikono miwili? Ukute vijana wetu wakifika huko wanalazimika kutumia hii njia maskini.Hujui
Wewe huijui Kanada. Watakurudisha vinginevyo useme wewe ni msenge au msagaji. System yao hsipenyeki
Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue.