Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Maskini wazungu ndo walitumalizia vijana kumbe akikubali kuwa ni shoga au msagaji anapokelewa kwa mikono miwili? Ukute vijawa wetu wakifika huko wanalazimika kutumia hii njia maskini.

Mleta mada hope utasoma hapa mimi sina experience ya huko nina marafiki tu ila walinambia ukifika huko jaribu kusoma hata short course hii itakufungulia njia hawa wapuuzi wasije kuharibia maisha.

All the best.
Hii njia inaitwa asylum sujapanga kutumia njia ya kipuuzi hii, mimi nataka kuishi kibabe
 
Asilimia kubwa ya wabongo ni chuki na kukatishana tamaa. Kuna mijitu inamtisha mshikaji utafikir Canada ni kuzimu.

Tafuta wajuzi mkuu ujilipue mbele. Bongo nyoso ujinga tu. Hata mm nikipata chance mbele kwa mbele tutajuana Huko Huko hakuna kutishana hapa
Asante mkuu
 
Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue.

Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi ya kupata makazi maana sina Social Insurance Number (SIN) na nasikia bila hiyo huwezi fanya chochote cha maana ila potelea mbali nyie nijuzeni mbinu zote mnazodhani zitanisaidia.

Pia kama unafahamu recruitment agency ambayo inaweza nipatia kazi bila kuwa na documents, usisite kunijuza, siamini kama huko hakuna dhambi hivyo njia za panya zitakuwepo tu.

Karibuni wadau mnaoishi huko.

NB: HATA MKINITISHA KUWA MAISHA NI MAGUMU NAKUJA, MBONA NYIE HAMRUDI?
You knocked on the wrong door mkuu. Canada hawazamii, utakufa kwa njaa huko.
Canada siyo UK au US kwamba utazamia, aliyekushauri atakuponza.
 
Asilimia kubwa ya wabongo ni chuki na kukatishana tamaa. Kuna mijitu inamtisha mshikaji utafikiri Canada ni kuzimu.

Tafuta wajuzi mkuu ujilipue mbele. Bongo nyoso ujinga tu. Hata mimi nikipata chance mbele kwa mbele tutajuana Huko Huko hakuna kutishana hapa
Canada siyo sehemu ya kujilipua mkuu,
 
Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue.

Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi ya kupata makazi maana sina Social Insurance Number (SIN) na nasikia bila hiyo huwezi fanya chochote cha maana ila potelea mbali nyie nijuzeni mbinu zote mnazodhani zitanisaidia.

Pia kama unafahamu recruitment agency ambayo inaweza nipatia kazi bila kuwa na documents, usisite kunijuza, siamini kama huko hakuna dhambi hivyo njia za panya zitakuwepo tu.

Karibuni wadau mnaoishi huko.

NB: HATA MKINITISHA KUWA MAISHA NI MAGUMU NAKUJA, MBONA NYIE HAMRUDI?
Ulizia mashamba makubwa ya ngao yapo upande gani potelea huko kama vibarua
 
Nchi gani zinafaa kujilipua? Nimeshapata VISA mkononi mkuu.
US, UK, German ni rahisi zaidi, pia kazi zipo but Canada aisee huwa panafaa ukiingia kama mwanafunzi, mkimbizi, asylum.seeker, na skilled or unskilled worker.

Anyways najua mpaka umefikia kufanya maamuzi hayo lazima utakua una sababu nzuri na mikakati zaidi ya uliyoandika hapa .
Mimi nikutakie kila lenye heri.
 
US, UK, German, Australia ni rahisi zaidi, pia kazi zipo but Canada aisee huwa panafaa ukiingia kama mwanafunzi, mkimbizi, asylum.seeker, na skilled or unskilled labor.

Anyways najua mpaka umefikia kufanya maamuzi hayo lazima utakua una sababu nzuri na mikakati zaidi ya uliyoandika hapa .
Mimi nikutakie kila lenye heri.
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom