Australia iondoe hapo, usimdanganye mwenzio. Kuna mambo yanawezekana US tu labda na huko kwingine.
Kuna nchi kwa asili ziko na tolerance kwa migrant, be it mzamiaji au ameingia legally. Auz wanahitaji labour sana ila ingia legally kwa visa kama ya kazi, ukiwa na pesa nyingi labda uombe ya investor, ingia na visa ya mwanafunzi wakati wako wa kusoma ubahatike kupata mume/mke ambaye ni PR, ama sivyo ukienda kama visitor muda wako ukiisha utarudi tu, hivyo hivyo kwa wanafunzi na hivyo hivyo kwa waliongia na visa ya kazi lakini baada ya muda hujapata wa kuendelea kukusponsor kazi, au skill yako is no longer in shortage. Utarudi!
Kama ulishaenda ukarudi ni rahisi kuenda tena.